S singidadodoma JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,394 Reaction score 1,538 Feb 29, 2016 #1 Mi nashangaa kwanini afya ya Seif Sharifu inafanywa kuwa siri, SMZ na Cuf tuwekeni wazi katika hili tafadhali
Mi nashangaa kwanini afya ya Seif Sharifu inafanywa kuwa siri, SMZ na Cuf tuwekeni wazi katika hili tafadhali
Dupe JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 1,668 Reaction score 813 Feb 29, 2016 #2 Ukawa watakuja kulielezea hili
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,849 Reaction score 50,566 Feb 29, 2016 #3 Dupe said: Ukawa watakuja kulielezea hili Click to expand... Ugonjwa ni siri kati ya Daktari na Mgonjwa wake. Hata inapobidi kuueleza kwa jamii ni Mwenye kuumwa mwenyewe anapotaka iwe hivyo.
Dupe said: Ukawa watakuja kulielezea hili Click to expand... Ugonjwa ni siri kati ya Daktari na Mgonjwa wake. Hata inapobidi kuueleza kwa jamii ni Mwenye kuumwa mwenyewe anapotaka iwe hivyo.
S sskayanda New Member Joined Apr 9, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Feb 29, 2016 #4 Tunamuombea Mwenyezi mungu ampe afya njema.