Maali Seif: Rais Shein unatuangusha

Maali Seif: Rais Shein unatuangusha

hehehehe...chama bana! Haya, goodluck!

Mkuu FJM
pepo za kusi hizo hazimzuii mvuvi mahiri kuingia baharini; si shekhe wao yupo lupango na wafuasi wametulia? Tiba yao ipo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkuu FJM
pepo za kusi hizo hazimzuii mvuvi mahiri kuingia baharini; si shekhe wao yupo lupango na wafuasi wametulia? Tiba yao ipo

Chama
Gongo la mboto DSM

safari hii utaona wafuasi wa chadema wanaitetea serikali ya ccm endeleeni kuipa sifa serikali hii mtafurahi 2015
 
maalim yeye kazi yake ni nini hasa?
amesahau wadhifa alionao ni mkubwa sana, tena yeye ndiye wa kumsaidia rais kutimiza malengo ayke ikwamo hilo la kulinda amani; kama hawezi atoke.....ameshajaza tumbo lake amesahau wajibu
 
Back
Top Bottom