Maajabu yaliyotokea Chalinze!

Nchi hii almost yote ni masikini.
Hilo linajulikana.
Chadema jipangeni, ondoeni migogoro ndani ya chama chenu mrudishe imani kwa wapiga kura vinginevyo wananchi watazidi kukosa imani na nyie.
 

umeona rafiki? Wasomi lazima uulize, kama unaahidi maji utayaletaje? usipoleta tukufanyeje,
sio mambo ya uhunihuni ya kuhonga na kuibia watu!
 
Cdm tafuteni kiini cha kushindwa siyo kusingizia umaskini na ujinga kama kwamba Tanzania ndio ina maskini na wajinga wengi kuliko nchi nyingine ambazo zimeshafanya mabadiliko tayari.

Fanyeni siasa vijijini, wekezeni siasa huko vijijini, siyo mfanye siasa mjini mtegemee kupata kura vijijini. Hubirini siasa safi na za kistaarabu, watu watawaunga mkono.

Endeleeni kufanya siasa mjini kamwe hamtashinda vijijini. Mnakwenda vijijini kama zimamoto wakati wa chaguzi halafu mnataka wakuchagueni.

Jitambueni ninyi kwanza kabla ya kuwalaumu wananchi kwa umaskini wao na kutojitambua kwao. Jiulizeni kwanza kama kazi ya kuwaelimisha kujitambua mmeifanya sawasawa.

Vinginevyo tutawaona mnafanya chaguzi kama miradi ya kufukia mashimo ya ufisadi makao makuu.
 

Toa hoja zilizo na mashiko siyo unazungumza hadithi za kutunga ambazo hata mtoto mdogo ukimhadithia anajua kuwa unasema uongo na wakati mwingine mnaposhindwa mkubali kushindwa siyo kila mnaposhindwa mnatoa visingizio
 
Hiyo ndo chalinze na hao ndio wakwere

mkuu ili eneo liko Saadani watu wana shda kule nilikuwa nawahurumia mlo wenyewe watu kule shda wakwere wana shda hawana elimu maji hakuna ndo naamini asiye nacho atakuwa maskini na mwenye nacho ataongezewa
 

Kwa hiyo ina maana wewe umeona mabaya tu! mazuri yaliyofanyika hakuna hata moja??? na kama lipo japo moja mbona hujaandika au unataka kutuaminisha nini
 
Politics aside,je hawa wakazi wa chalinze wanastahili kuwa katika hali hiyo miaka 52 baada ya uhuru na just 70 - 200 kms from Dar es Salaam.Je keki ya taifa imegawiwa equitably?Wakati wengine mnazungumzia kuhama analog kwenda digital wengine hawana hata ndoto ya umeme?.its unfair bila kujali mlengo wa kisiasa uliopo.
 
Maeneo kama hayo yana "faida" yake hususani kwa "wajasiria ardhi" kutoka kaskazini.
Ekari moja ya ardhi unauziwa hata elfu 20. Maelfu ya ekari za ardhi sasa yameshaangukia mikononi mwa wajanja wa kaskazini.
Kufunguliwa kwa hizo shule za kata hata kama ni chache wao wanadhani ni faida kwao lakini wanasahau kumefungulia "viwavi" wa ardhi, vijana walimu kutoka kaskazini. Hadi waje waamke hawa, kwa mjanja asiyekuwa na ekari japo 500 za mitiki basi sio mjanja...

Sometimes nawaza CCM ibaki baki madarakani kwanza tupate zaidi mda wa "kujiweka sawa"...
 
Ndiyo maana kinanitiwa chama cha wanyonge! Kinayajua matatizo Yao na wao wankijua!
 
Bange ndio hizi fanyeni kampeni kama ni posho toeni tu hakuna anayewazuia


Sent from my iPhone
 
Na mtaji mkubwa wa ccm kwa sasa kutumia ujinga wa wananchi kushind


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Msoga kwa baba, Kiwangwa kwa mama, kamaliza adaiwi na yeyote. Riz-one hongera kwa ushindi wa kishindo. Jiandae kwa ajiri ya 2015, ahirisha kujipongeza muda haiko upande wako.Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
kikwete alikuwa bagamoyo siyo chalinze

Wewe nawe ata ujui historia kabisaa unakurupuka tuuu

Kikwetere alikuwa mbunge wa jimbo la baagamoyo (yani wilaya ya bagaamoyo)

Sasa jimbo lile lina majimbo mawili (chalinze na bagamoyo)

Weka hii kichwani kuanzia sasa kijaana.
 
Wale jamaa Bongi Bongi kweli!Wakasome elimu ipi wakati tayari walizaliwa wanajua ushirikina na kuuana?Wao kwao mji ni Kariakoo. Angalia hata viongozi wenye asili ya pwani; wote wanawaza kuwa karibu na Jiji la Dar!
 
Ni vyema ukajibu kwa hoja kwamba hili si la kweli kwa sababu hii na hii! Post yako bado haijajibu hoja
Atajibu nini wakati hana akili? yeye hapo anafurahia shibe ya ubwabwa huku mkewe akiwa kavaa kanga mpya
 
Sikutegemea Bunge letu lingeliendelea kupata pigo la jinsi hii. Najribu kufikiri vijana hawa wawili (chalinze na Kalenga)watakalolifanya bungeni sipati picha....ila tunakoelekea ni pabaya. Maamuzi yanayoweza kufanywa na vijana hawa...including Mwigulu...ni janga la taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…