Maajabu yaliyotokea Chalinze!

Hahaha kweli Chadomo mmefifilisika.... ,Mngekuta Chalinze imepiga maendeleo mngeanza kulaumu rais amependelea kwake..."

Sidhani usemi huu una ukweli wowote ndani yake. Kwa mwanasiasa na mwanajamii yeyote hufurahia maendeleo - na kulaani kitendo cha kuwaacha wananchi katika limbu la maskini kiasi cha kupoteza ujasiri wa kukubali au kukataa wanachoambiwa. Kilio chetu kimekuwa siku zote kukomboa watu kwenye umaskini na sasa hivi ni muhimu kuelekeza nguvu ukanda wa pwani, kwani huko umaskini umeshamiri.

Tabu na changamoto kubwa ni kuaminika kwa watu waliokolezwa tororo na umaskini! Watakusikiliza lakini ni waoga sana kukubali mabadiliko, kwani kwa maskni hii ni 'risk' kubwa mno, yaani wanahofu hata kile kidogo walicho nahco chaweza kupokonywana mageuzi. Tuzidi kuwahimiza tu watu wapende kuukataa umaskini!

Katika khali hii Kikwete angekuwa amewafanyia upendeleo, upendeleo huo ni sawa kabisa! Unaitwa positive discrimination kwani una tija kwa taifa na jamii
 
Angepaendeleza mgesema ana ukanda, anajali kwao.
Haya tuambieni aloyafanya Nyerere butiama na Mkapa Mtwara.
 
Mjinga rahisi mno kumtawala,ila siku akielevuka,magamba mtaisoma namba.
 
huko ni kuwatusi wana chalinze kwa baati nzuri maandishi yako haya haya yatawaukumu hapo mwakani
 
cHUNGUZA MAISHA YAKO NA NDUGU ZAKO KIJIJINI NDO UTAGUNDUA UNYANG'AU UNAOFANYWA NA SISEMU KWA TAKRIBANI 53 yrs now, ACHA USHABIKI UTAENDELEA KUPIGA DEBE WENZIO WANAWAANDAA WATOTO WAO KURITHI NCHI!!!!!!pole saaaaaana
 
mtaishia kuwa chama kikuu cha upinzani,
 
Sasa hao walio chagua wale wale si kama wamerudia kula chakula kile kile
 
SILAHA KUBWA ZA CCM ni UMASIKINI , UJINGA , UOGA NA RUSHWA .
 
Ulitegemea nini kwa msanii kuongoza eneo hili? True replica kwa aliyofanya kwa Nchi hii. Kuhonga kwa URAHISI 2005 akiwa na mtandao wa wezi ndiko alikofanya hata Chalinze na sasa wamempata msanii na MAFIA aka RITZ ngoja tuone!!
 
Hiyo ndo chalinze na hao ndio wakwere
 

Attachments

  • 1396868511399.jpg
    63.8 KB · Views: 881
Kaka 86.6% (wa kishindo)itakuuma sana! Hayo mambo uliyoongea ungekwenda na Chopa ili watoto wakasikilize na wahsngae chopa,but for now its too late! RIP Chagadema!

Target yetu ilikuwa tuvunje record more than 94% what happened !
 
ccm ni chama la wezi tunahitaji nguvu yazida kuwaondoa maarakani kwani mtaji wao mkubwa ni pesa chafu wanazozichapa serikarini. shame on you ukoo wa panya

Maskini Chadema ndo hiyooo inapotea poleni sana! labda ongezeni kutukana maana mnadhani matusi ndo yatawapa ushindi.
 
Hapo chalinze kuna vituko,kuna taasisi moja ilitaka kuchimba visina ktk moja ya vijiji lakini wazee wa eneo hilo walikataa na kuwatishia maisha wachimbaji sasa kama ndivvo hivyo kwanini wasikose maendeleo
 
Wataalam wa demokrasia wanasema huwezi kujenga demokrasia ya kweli katika jamii ambayo watu wengi ni maskini na hawana elimu. Mjinga ni rahisi kudanganywa, kuuza uhuru wake, kuacha kutumia haki yake, na hata kutishwa. Na pia mtu mjinga si rahisi kujua vipaumbele vyake. Ndiyo maana ukichunguza kwa umakini CCM inaungwa mkono zaidi maeneo ambayo elimu ni duni sana na umaskini umekithiri. Kwa kiasi kikubwa CCM inachukiwa na wasomi wengi. Angalia uungwaji mkono wa CCM upoje katika mashule na vyuo, na kwenye miji mikubwa mingi ambako ndiko inakojulikana watu wenye upeo wapo.

Watakaoiondoa CCM madarakani ni wahitimu wa shule za kata. Hawa japo hawapati elimu bora lakini wanaelimu ya kujitambua.

Kaka 86.6% (wa kishindo)itakuuma sana! Hayo mambo uliyoongea ungekwenda na Chopa ili watoto wakasikilize na wahsngae chopa,but for now its too late! RIP Chagadema!
 
Maskini Chadema ndo hiyooo inapotea poleni sana! labda ongezeni kutukana maana mnadhani matusi ndo yatawapa ushindi.

mliiua nccr, then mkaja cuf, kule mlifanikiwa kwa sababu mliweka vipandikizi,
my analysis ni kwamba cdm wamejaribu kuondoa vinavyojaribu kuwatafuna!
 
Ccm itatoka kwa nguvu na sio sanduku la kura, tusidanganyane wala kupotezeana muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…