Ila na wabunge wa UKAWA watakuwa wanatoka hadi lini? sauti zao wanazipaza wakiwa wapi? Hawaoni kwamba siku kukiwa na issue ambayo ina utata na inaweza kupata upinzani mkubwa kupitishwa watamtumia naibu spika ila kuepusha nguvu ya upinzani? Rudini bungeni pigeni kelele hata kama ccm na serikali yake hawatawasikia sisi wapiga kura na dunia nzima itawasikia and you will be rewarded!