Maajabu ya wabunge wa CCM

Naibu Spika: Wanaoafiki hoja kuwa usiku uitwe mchana na mchana uitwe usiku waseme ndioo
wabunge 'wale' : ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Wabunge wa ccm kitu chenye maana kwao ni maslahi ya chama kwanza, na kwa kupigania maslahi ya chama matumbo yao yanapata kushiba, hakuna mtanzani wa kudanganywa tunawajua na tutawahukumu kwenye uchaguzi unao kuja
 
kwa hiyo tukusaidiaje sasa, maana sijaona ulichoongea sana sana povu tu...
Povu walilitoa wabunge wa ccm siku ya bajeti baada ya kuambiwa kuwa kiinua mgongo chao kitakatwa kodi
 
Utaona mbunge na heshima ya kuitwa mbunge anaomba mirungi iruhusiwe
 
Utaona mbunge na heshima ya kuitwa mbunge anaomba mirungi iruhusiwe
Afadhali mirungi, mbunge anasimama kutetea bangi, halafu anapewa posho. ccm ni donda lenye harufu mbaya sana,
 

Mkuu Vita iliyopo ni Kali sana ndani ya bunge,hata kutoka nje inaonesha KWELI wananyongwa,impacts zilizopo kwa bunge na naibu spika ni bunge kukosa mvuto kabisa tofaut na tulivyotarajia.Nakuambia fuatilia mjadala ya wabunge wa ccm ni vituko.
 
Bunge limebaki na wajingi wenye akili timamu wametoka nje.
 
Bunge limebaki na wajinga wenye akili timamu wametoka nje.
 
Ccm wana akili za kushikiwa hata likiwa na PhD kama lile la k. Y . E. L. A. Vichwa ni empteee
 
Nani wenye akili timamu alietoka? Huko alikoenda anafanya nini? Nadhan kabla ya kuondoka kulikua na haja ya kufanya tathimini ya nini kotatokea wanapotoka
 
Ccm wana akili za kushikiwa hata likiwa na PhD kama lile la k. Y . E. L. A. Vichwa ni empteee
Kuna waliokuwa wameanza kupata akili ila juzi tu lile zee lao katibu mkuu lilipowapiga mkwara wote wakaufyanta wakageuka ghafla, sijui wana ugonjwa gani hawa binadamu
 
Tena ww umeleta idea nzuri, me nadhani kuwakomoa wabunge wa CCM ni UKAWA wakubali kurudi, japokuwa itakuwa na implication kuwa wamefata posho, ila hiyo ni short term. Halaf wakisharudi wakae kimya tu, wasichangie chochote, na kama mazingira yakiwalazimisha kuchangia, basi wasipinge kabisa wasapoti huku wakizidisha mbwembwe ambayo maana yake halisi ni kujeli ya hali ya juu sana, na ina long run implication mbaya sana.

Theory ya hii nin? hii huwa ina maana kubwa ya kuua dhana au malengo flani, mfano halisi itokee humu JF kila kitu tunachoongea hakina resistance kutoka sehemu yoyote, maana yake ni kwamba in the long run ina loose value. Dunia imeumbwa na pande mbili ktk kila kitu, kukiwa na upande mmoja, hakuna outcome yoyote.
Hii ndo dawa, na kwa vile bunge halioneshwi live itasaidia sana kuondoa value ya 2 third ya wabunge wa ccm. Kutoa hoja za msingi ambazo hazina implication kwenye budget ni kulipa kick bunge wakati hamthaminiwi. Mnafanya wananchi na dunia iamini kuwa bunge liko active, kumbe nyie ndo mna add value kwenye bunge.
Hali hiyo itaendelea mpaka wabunge wa ccm watakapogeuka kufanya kama nyie, hapo equilibrium itakuwepo.
 
Sioni umuhimu wa bunge la Tz hakuna jipya. Watanzania tunataka bunge lenye meno na siyo kibogoyo kama hili la sasa, bunge lenye uchama na kejeli za kinafiki wa kukomoana bila kujali maslahi ya nchi na taifa. Wabunge wa nchi hii walio wengi ni wezi wa kodi zetu maana hukaa kimya bungeni bila neno kusema na hao wapewe adhabu kali ya kukatwa mishahala yao na wao walidhie kama walivyowafanya wenzao bila kupeleka mswada bungeni wa kurekebisha sheria kuhusu wajibu na haki za wabunge kama wawakilishi wa wananchi.
 
Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa. ~~~G Lema

Anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili ~~ Msigwa

Lowasa ni dhaifu sana hatumtaki ~~~ Mbowe.

Haya ndio maajabu nane ya dunia
 
hata mwaka mzima tutakaa nje
 
Vijana wa bavicha mmeanza utumbo wenu wakati Silende kasema wana mpango wa kurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…