Bilashaka Jumamosi yenu ni tulivu,
Nimejikuta nawaza kwa sauti tu leo. Fungua mitandao ya kijamii uone wanawake na wanaume wanavo semana na kunangana kana kwamba wapo kwenye vita baridi iliyokuwepo enzi hizo kati ya Marekani na Usovieti, wanawake watawasema wanaume kua hawana huruma, waongo, wahuni watu wasiokua na hisia wakipendwa na mambo meengi mabaya, wanaume halikadhalika watasema wanawake ni waongowaongo, washirikina, malaya nk.
Lakini ndani kwa ndani hawa viumbe wawili wanapendana kupita neno lenyewe kupendana, mpaka kupelekea wanafanya matusi(tafsida imezingatiwa)
Yaani utamkuta Miss Natafuta au Sky Eclat au Miss Chaga na wengine wanatoka povu kuwasema wanaume utafikiri ni mashetani gani sijui wasio na mioyo ya kibinadamu. Lakini huyohuyo baadae au usiku anajifunika shuka moja na mwanaume tena bila pichu na peremende anatoa kwa hiyari yake.
Wanaume nao pamoja na matusi na kashfa kwa kina dada lazima awe na wakumliwaza, kazi ambayo haiwezi kufanywa na mwanaume mwenzake labda awe bwabwa! Kwa ufupi hawa watu wawili hawawezi kuishi bila ya opposite sex! Wanapendana na wanategemeana, sasa hii mivutano ni katika maumbile na ajabu ya Mwenyezi Mungu.
Intimacy iliyopo baina ya hizi two opposite sex ni yakimiujiza hasa ambayo haipatikani katika urafiki/ukaribu wa same sex hata kama urafiki huo uwe wa ku forge yaani lesbians au gays.
This indeed is the wonder of creation hakuna Fundi kama Mungu