REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,273
- 11,540
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afu wanaopigiwa simu mbona kama hawawi surprised. Milioni kumi unakuta mtu anajibu asante basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha kuna mmoja wa Mbagala huko alizimia, huwa wananiboa yaani hawashitukiAfu wanaopigiwa simu mbona kama hawawi surprised. Milioni kumi unakuta mtu anajibu asante basi [emoji23][emoji23][emoji23]
You have a point man, asante sana kwa taarifa, kumbe mimi wa line ya voda nimekuwa niikipigwa muda wrote, maweeeeee!!!!Nasema haya maajabu kwa sababu hii ni bahati nasibu ila ina maajabu majabu yake ni haya;
Kila droo ya Jumapili fuatilia wanaopigiwa simu kushiriki droo lazima jinsia iwe ya kiume na kike, swali kwanini iwe hivyo kama hawapangi washindi kwanini wasiwe wanawake wote kwanini isitokee wanaume wote hayo maajabu.
Ajabu jingine washindi wote ni watumiaji wa mtandao wa tigo tu fuatilia yani tuseme hii Tanzania yote mtandao ni tigo tu.
Tutafakari pia wale waliopewa dhamana ya kusimamia hii michezo ya bahati nasibu wajitathimini siyo mpaka mh rais aseme ndio muache fuatilia watanzania tunapigwa wazi wazi.
wanacheza ila wapigaji wanaaaminisha wanaoshinda ni wanyonge na wenye mitaji midogoHivi watu wanaoishi obay au masaki na huko ushuwani kwingine Hivi wanacheza hiyo mchezo
Ova