Maajabu ya Tanzania

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....
 
dah! Bongoz ni majangaz you know!..eti na wewe unajiita mwanaume mweh!!..shame on you 'mbebez'
 
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....

siyo maajabu hayo ni utamaduni wa viongozi wa tz kuendekeza 10%. Na bado wataumbuliwa sana na haka ka mvua ka siku tatu tu! Na mwenye wizara yake anaaminiwa kwelikweli hadi kutajwa kwenye kinyang'anyiro cha urais! Aibu yao mainjinia makanjanja wa bongo na waziri wenu.
 
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....

Hebu nifafanulie, daraja la Ruvu linatatizo gani?, wewe unaandika ushabiki.......
 
Unafikiri hizi mvua zinazoendelea ni za kawaida?? Vitu vingine ni maafa tuelewe hayo. Kwa hiyo waliojenga yale magorofa yalioburuzwa na Tsunami Japan wajapan wangeilaumu serikali yao?
 
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....

Tatizo ni ten percent.
 
Nafikiri tutofautishe maafa na ubora wa madaraja.....nimesikia mtu mmoja mwenye Umri wa zaidi ya miaka 60 hivi akisema tangu azaliwe hajawahi ona hayo mafuriko enoe la ruvu alikozaliwa.

pia kinachotajwa ni daraja ila kiukweli, ni eneo kubwa several kms zilikuwa ndani wa maji.....
sijui kama uliona mafuriko yaliyotokea North England mwezi wa pili, madaraja mengi na makubwa yalizama ambapo inahesabika kuwa ni maapha na haihusiani na ubora........, bila kusahau, Thailand ambao kwao ni karibia kila mwaka wana maafa....
 
Tatizo sio daraja. Daraja la ruvu jipya ni zima kabisa. Na maji yanapita chini ya daraja.
Kilichotokea leo ni mafuliko. Kuliko jaa maji ni barabara, sio daraja la ruvu. Ndio maana watu walikiwa wanasubiri maji yapungue ili wavuke daraja.
Si dhani kama serikali ni ya kulaumiwa kwa kilichotokea leo.
 
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....
Duh! Kweli na wewe unajiita great thinker humu ndani? Daraja la Ruvu limeleta matatizo kwa ubovu wake au maji/mafuriko yanapita juu ya daraja, hivyo kwa usalama wa watu imezuiliwa mpaka maji yapungue?
 
unakuta daraja linajengwa kwa
mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka
isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la
ruvu.....
Mwogope kama ukoma kiongozi afanyaye kazi kwa Tv.
 
Hizi ndio hoja zinazotakiwa kujengwa humu, sio ushabiki kwa kila kitu.
 
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....

Usijeshangaa mkuu, washenzi wanapeleka lawama kwa Nyerere hakuwandaa vizuri akina magufulu.
 
Tatizo ni ten percent.
Baba V, mi nilidhani huwa unasupport hoja za uhakika, hata daraja la Ruvu limekutoa nje? Duh! Unaniacha mdomo wazi. Hivi hiyo ten percent kapewa Mungu aliyeamua mvua zinyeshe, au ni ushabiki tu?
 
in hydraulic structure design they consider overfloading.hiki kitu kinaitwa Return period na inakua in term of probability
 
Hata hivyo panua mawazo, bado ukweli upo palepale! Shida si Ruvu pekee, Zaidi ya madaraja 10 yamebomoka kama si kutumbukia, usibishe mambo yako uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…