Karibuni sabuni za maji, kwa bei ya jumla na rejareja
Sabuni ni nzito na yenye povu la kutosha, haipaushi nguo wala kuchubua mikono
Matumizi
Kufua,
Kuosha vyombo
Magari
Usafi wa ndan na choo
Kung'aza masinki ya choo yaliyofubaa
Kunawia mikono
Sabuni ni nzuri weka oda yako uletewe mpaka nyumbani
Mikoani tuna tuma
0754939399 call/whatsaap/sms
Muda wowote oda yako itapokelewaView attachment 921927
Shilingi 7000 bei , pia unaruhusiwa kunipigia bila masharti yoyoteNipigie +255692470547/+255658276181
Sh 7000 king karibuDuuu bei ipoje
hii bei ungeweka juu kabisa katika bandiko lako ingekua poa kinomaSh 7000 king karibu
Natuma weka oda yako utapata bila tatzoMikoan unatuma aisee