Nimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha
1. Azam TV.
2. DSTV.
Lakini nimejaribu kutumia ile ya Azam kwenye ving'amuzi vinginevyo, imeshindikana kabisa.
...........….…....…………..............................!
China productNimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha
1. Azam TV.
2. DSTV.
Lakini nimejaribu kutumia ile ya Azam kwenye ving'amuzi vinginevyo, imeshindikana kabisa.
...........….…....…………..............................!
Mkuu haya ndio madhara ya vitu ambavyo vipo below standard, decorder nyingi hapa tz ni below standard, hizi za startimes, continental, digitek, mediacom.. Sijui kuhusu hizi za dstv na vinginevyo.
Mimi mwenyewe hapa remote ya continental nikibonyeza OK, inazima deki ya dvd, pia ukitumia wakati unapunguza sauti ya TV remote ya TV au redio haifanyi kazi hadi nitakapoachia remote ya continental.
Pia kuna kipindi nilikuwa natumia TV tuner ya intex, na nilikuwa natumia taa ya kuchaji yenye remote, sasa kuna buttons za remote ya intex zilikuwa zinawasha na kuzima ile taa.
Sio hivyo tu, hata kwenye deck za DVD Inatumika.Nimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha