Habari Wana Jamvi?
Hivi Kwanini Paka Dume Wana Tabia Ya Kupotea? Na Je Wakipotea Huwa Wana Elekea Wapi??
Kuna Uhusiano Gani Uliopo Kati Ya Paka Dume Na Imani Za Kishilikina?
Ni kweli kabisa kuna Mtanzania nimekutana nae Nagaoka ndani yuko uko yapata miaka 56 sasa hata habari y a kwao ana anatafuta maisha na jinsi alivyo yupo safi kabisa(Wengina kazi kulia kulia tuu)..