John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,029
wewe umeamuwa kuirudia Thread ya Madhara yavinywaji Baridi Soda za aina yoyote ile ni mbaya mimi nimesha weka Madhara ya kunywa Soda ya aina yoyote ile sio Pepsi tu soma bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/210672-madhara-ya-kunywa-soda.htmlPepsi ni jina la kinywaji aina ya soda ila uki tulia kwa makini na ukalifanyia utafiti wa jina hilo linatisha vibaya.
Nilicho gundua mimi katika pepsi ni maneno tofauti na awali.
siku moja nili kuwa nakunywa soda aina ya pepsi huku nina mawazo tele kichwani nikaanza kuigeuza chupa chini juu na kusoma nika pata maana, nikaigeuza wima na kusoma kiarabu na yenyewe ipo maana.nika soma kwa namba ipo maana zaidi ya moja.
CHEKI hapo chini.
Pepsi =is ded
pepsi= is 666
pepsi=12969
jamani pepsi ni hatari kwa afya zetu.
mfano chukua mfupa wa kuku ingiza kwenye pepsi wacha masaa 24, kisha rudi kautazame kama uta ukuta.Au tia msumari ktk pepsi acha saa 24 halafu kaangalie katika chupa kama uto kuta kutu.
Jamani ni kifo hicho kwenye soda
pepsi=is pep
Pepsi ni jina la kinywaji aina ya soda ila uki tulia kwa makini na ukalifanyia utafiti wa jina hilo linatisha vibaya.

Kwani "DED" maana yake nini tofauti na kifupi cha DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR (Mkurugenzi wa wilaya), unamaana kuwa pepsi ni kwaajili ya wakurugenzi wa wilaya tu au?
Kuhusu kutu ni chemistry ndogo sana tu inahitajika! Uwepo wa chuma(Iron)+ Oxygen+Maji=rust(kutu) sasa kutokea kwa kutu wala kusikupe tabu. Kuhusu hizo namba ulizoziweka labda unifahamishe zaidi zina athari gani kiafya.
Mkuu hiyo ni chemistry ya form two kila mtu anafahamu, nilichotaka ni kumpa mwanga huyo jamaa wa cocacola aache ukilaza.
Make huwa tunaona hata masufuria nyumbani yanapata kutu au zile iron wool za kusafishia bila kuweka udongoni.
Mimi sitaacha hadi nife, my Dear Dad hadi anakufa last minutes aliomba CocaCola na alikua na kisukari kibaya!!!! Mara tusile kitimoto mara mafua ya kuku
Mie nimekueleza jina la pepsi na maana zake.usikurupuke soma vichwa vya habari.
Nitakuja kuku unga mkono huko kwako kwenye mada yako.
Naomba uendelee na kautafiti kako tugeuzie na cocacola tupate maana zolizojificha