Maajabu ya Nchi ya VATICAN

Status
Not open for further replies.
Ni Nchi pekee yenye wanawake wasioruhusiwa kuolewa na wanaume wasioruhusiwa kuoa..No kuzaana.
 
Naupenda Sana ukatoliki, nawapenda pia wasio wakatoliki, nawapenda hata wale wanaokejeli ukatoliki maana tumeumbwa na Mungu mmoja, Mungu aliue hai hakutubagua kulingana na dini zetu, maana yeye yupo kabla ya dini, na alituumba tukiwa hatuna dini, sasa kutukana, kukejeli kwako wewe ambaye hujawahi hata muona Mungu kwa kuamini upo sahihi ilhali bado inatenda dhambi na bado unahitaji huruma yake Ni sawa na kumkufuru aliuekuumba na kumkosoa yeye. Kuwa makini Sana unapoandika jambo linalohusu imani ili usijetenda dhambi, usitumie chuki yako ya kibinaadam kukashifu kazi za Mungu. Tafakari na pia omba msamaha. Ukiona ushauri wangu SI sahh fanya vile unavyojisikia.
 

Hizo ATM za KIlatini zikija Bonngo hazitafunguka kwani Lugha yake itakuwa ni kutoa tu pesa zote
kwa hiyo hazifani kote Duniani
 
elezea kidogo mkuu !!!!!nchi ina amani sasa intelligence ya kazi gani????

Kumbuka kanisa katoliki lina waumini zaidi ya bilioni moja,uadui kwa kanisa hili ni wa kutisha sana,hivyo uchunguzi wa hali ya juu kwa waasi na wenye kupinga maendeleo ni lazima.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…