Maajabu ya mmea huu

Yapo ya aina tatu yanayofanana , yanayopikia supu ni yombo yanaharufu flani hivi , kuna aina nyingne nyembamba yale ya corona sio hayo, ninalozungumzia ni aina ya tatu linakua na jani zito na shina nene kuliko hayo mawili
Sio mzugwa kweli?
 
Yapo njombe tunapanda mengine kama maua
 
Upo sahihi naona hata kutibu ngili yanafaa haya
 
Ndugu yangu hayo majani manne kuyamaliza ni issue uwa ni machungu na yanakereeketa hatari. Lakini ni dawa ya magonjwa mengi hadi kansa ya utumbo.
 
Aisee inawezekana.
Kuna ndoto naziota, nyingi, za kawaida tu sema location ni moja for about 9 yrs in a row.
 
Haya ni kama majani ya numbu vile
 
Heading ingekuwa maajabu ya ndoto na bibi kizee, hapo mmea hauna maajabu
 
Ndugu yangu hayo majani manne kuyamaliza ni issue uwa ni machungu na yanakereeketa hatari. Lakini ni dawa ya magonjwa mengi hadi kansa ya utumbo.
Mkuu ukiyala kwa mda wa wiki tu unayazoea, wala huwezi kuhis uchungu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…