Hili jani uchagani tunatumia hadi kwenye supu supu inakua tamuuu balaa ,ni dawa ya tumbo piaNilipatwa na vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na h. pylori, mwanzoni kabla ya kugundua tatizo nilihisi Nina tatizo la moyo, nilitumia pesa milioni na pointi kufanya vipimo mbalimbali kma umeme wa moyo na nk, mwishoni nikapima damu kuangalia nikakutwa na hpylori, nikapata heligo kiti , baada ya hapo nikawa nasumbuliwa na gesi na maumivu ya mgongo na vichomi, siku moja usiku nikiwa kwenye usingizi niliota ndoto, kuna bibi kizee akanielekeza jani hilo apo kwenye picha , nitumie kwa mwezi mmoja asubuh na jioni nitafune majani manne, nilipozinduka usingzini nikatafakari sana hyo ndoto nikaipuuzia , baada ya wiki moja ile ndoto ikajirudia , ikabidi nichukue maamuzi ya kutumia majani hayo kwani kwa mazingira ninayoishi ni mengi mno , nikamaliza mwezi, tumbo likaacha kuuma sasa namiezi tisa sijasikia yale maumivu tena.Nikawaza nitumie yale maono kupiga pesa kwani wenye tatzo hilo ni wengi , nisage unga wake ili watu wasijue niuze, usku wa siku hyo nikaota yule bibi kizee kanijia tena akanionya kuhusu maamuzi yangu , akaniambia hyo dawa napaswa kuwaonyesha watu bure, marafiki wangu wakwanza ambao mda mwingi nakua nao niwana jamii forum wenzangu , nikaona niwamegemee ujuzi kidogo , ili ambae anayafahamu hayo majan aweze tumia [emoji106].View attachment 2326327
Yapo ya aina tatu yanayofanana , yanayopikia supu ni yombo yanaharufu flani hivi , kuna aina nyingne nyembamba yale ya corona sio hayo, ninalozungumzia ni aina ya tatu linakua na jani zito na shina nene kuliko hayo mawili [emoji108]Hili jani uchagani tunatumia hadi kwenye supu ,ni dawa ya tumbo pia
Hilo halipingwiMimea ni dawa.ila stori yako kama umeichangamsha hivi.
Unafikiri kama wewe haujawahi kusemezwa kwenye ndoto jambo la kweli ni wote hawatokewi mkuu? Anyway ni changamoto tu hizo.Hilo halipingwiView attachment 2326338
Yupo sahihi,hilo jani Kilimanjaro ni maarufu sana ,linatoa tibaHilo halipingwiView attachment 2326338
Kutibu nakubali kwa asilimia zote hilo hata mimi nalikubali hata UTI unatibia ila stori ya bibi kizee inaonekana kama chai ya kunogesha uzi .Yupo sahihi,hilo jani Kilimanjaro ni maarufu sana ,linatoa tiba
Mzungwa ulivyo mchungu vile mnaweka kwenye Supu?? Au umechanganya na MrehaniHili jani uchagani tunatumia hadi kwenye supu supu inakua tamuuu balaa ,ni dawa ya tumbo pia
Unamuharibia mwenzako. Yeye ameeleza kijanja sana ili apate nafasi ya kupiga watu. BTW hilo jani linasemakana linatibu tumbo ila simulizi ya jamaa ni uongo.Yupo sahihi,hilo jani Kilimanjaro ni maarufu sana ,linatoa tiba
π π πKutibu nakubali kwa asilimia zote hilo hata mimi nalikubali hata UTI unatibia ila stori ya bibi kizee inaonekana kama chai ya kunogesha uzi .
Inakuwaje tamu hali ya kuwa hili jani ni chungu ukichemshaHili jani uchagani tunatumia hadi kwenye supu supu inakua tamuuu balaa ,ni dawa ya tumbo pia
Kwa hiyo hilo lako linaitwaje???Nafikiri mnachanganya hilo jani ebu litazame vzur tena