Maajabu ya Korea Kaskazini

Hakuna anayependa kuishi kwa mashaka
"Korea kaskazini - ndio nchi inayoongoza kwa mabalozi wake wakistaafu kutorudi nchini humo yaani hutorokea hukohuko"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

In God we Trust
 
Hao raia wakichoka ipo siku kitanuka hiyo familia inayoongoza kimabavu hatima yake itakuwa ya haja kwelikweli.
 
Propaganda nyingi hapa, kiufupi kwenye developing country hasa za afrika hakuna nchi yoyote inayoifikia korea kaskazini.
Nitakuja na facts na ushahidi kesho.

Asilimia zaidi ya 25 ya defectors waliokimbilia korea kusini wanataka kurudi kwao. Ni kweli kuwa korea kaskazini ni maskini kiasi kinchosemwa hapa?

North korea wana operating system yao wenyewe inaitwa RED STAR OS(Latest release: 4.0 )hawatumii windows hawa.
nitarudi.


RED STAR OS
 
Kuna nyingine umetudanganya

1: Nchi pekee ambayo raia wa kigeni haruhusiwi kupewa uraia

Hii sio kweli, nenda China au India ukaombe uraia kama utapata.


2: Nchi ambayo raia wake wanaongoza kwa kukimbia nchi.

Sina data kamili lakini sidhani kama wanazizidi Eritrea,Ethiopia na Somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema huna uhakika!
In God we Trust
 
Ndiyo maana hadi sasa Trump anaomba poo kwa kiduku
Nasikitika sana kuona fact kama hizi hawazisemi asee daah[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using My COVID-19

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…