MaAjAbU yA jEsHi la POLISI...,

fiter

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,144
78
kamanda kova ametangaza kwa kujigamba kua wamewakamata panya road...,.
My take: mbona kuna matukio mengi ya wizi wa rasirimali zetu zinazoibiwa na mafisadi na ushahdi upo na pia hata wao kuiba mali zinazongoja upelelezi mbona hawatupagi feedbak?
Wacha panya road watese si mliwaahidi maisha bora kama mafisadi wanatuibia kwa maandishi wao acha watumie nguvu....jeshi la polisi la kipumbavu sana yani.....
Hizo ni dalili za vuguvugu ya mapinduzi
 
Kwa hiyo ulitaka panya road waendelee na kazi.

usintaftie ban kwani kwa akili yako ndogo unaona mafisadi wanaoiba rasirimali zetu na hao panya road nani wanaleta hasara kwa taifa
 
Mafisadi si mabosi wao wanaanzaje kuwashika mzee wa vijisenti aligonga watu katika bajaj na gari haikuwa na road licence wala insurance wala yeye hakuwa na leseni na wakazikwa yeye anapeta sasa mkuu we kaa kimya nawewe ukipata flusa pasua maisha yaendelee!
 
usiseme hvyo hata wewe hujitambui unapelekwa kama upepo hii nchi inahtaji mabadiliko na wa kuibadilisha ni sisi
 
kamanda kova ametangaza kwa kujigamba kua wamewakamata panya road...,.
My take: mbona kuna matukio mengi ya wizi wa rasirimali zetu zinazoibiwa na mafisadi na ushahdi upo na pia hata wao kuiba mali zinazongoja upelelezi mbona hawatupagi feedbak?
Wacha panya road watese si mliwaahidi maisha bora kama mafisadi wanatuibia kwa maandishi wao acha watumie nguvu....jeshi la polisi la kipumbavu sana yani.....
Hizo ni dalili za vuguvugu ya mapinduzi

Kwahiyo Polisi ni Paka road
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom