Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 May 27, 2014 #21 kibaa said: kutoiona hiyo miti wakati yeye anaiona ndiyo maajabu yenyewe ya dunia Click to expand... jibu zuri
kibaa said: kutoiona hiyo miti wakati yeye anaiona ndiyo maajabu yenyewe ya dunia Click to expand... jibu zuri
Roby G JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 608 Reaction score 629 May 27, 2014 #22 Ngoja tumsaidie mti wenyewe huu.
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,275 May 27, 2014 #23 jamaa ana kimeo! pole sana aisee...
Roby G JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 608 Reaction score 629 May 27, 2014 #24 junior mzolo said: Heee, hivi hii miti ipo kweli au watu wameedit Click to expand... kama huu?
NGUVUMOJA JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,347 Reaction score 329 May 27, 2014 #25 Haya kwanza nenda kajifunze kuitumia jf ipasavyo (kuweka picha n.k) kisha ndio uje hapa umekamilika. Sawa eeeh.
Haya kwanza nenda kajifunze kuitumia jf ipasavyo (kuweka picha n.k) kisha ndio uje hapa umekamilika. Sawa eeeh.
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,694 May 27, 2014 #26 Ndiyo hii miti tuliyonayo tumeumbwa nayo hatuja edit
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,138 May 27, 2014 #27 Dinazarde said: Uko wapii mtiii Click to expand... Imekatwa!
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 May 27, 2014 #28 hii gongo uliyokunywa itakua imeongezwa kitu si bure
chardams JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 2,450 Reaction score 1,751 May 27, 2014 #29 Big up kwa waanzilishi wa JF; raha tupu,
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,453 May 27, 2014 #30 junior mzolo said: Heee, hivi hii miti ipo kweli au watu wameedit Click to expand... daaah huo mti ume nikumbushia mbali sana kipind hicho tuna toroka shule kwenda kuokota matunda ya huo mti ni matamu sana yaani.
junior mzolo said: Heee, hivi hii miti ipo kweli au watu wameedit Click to expand... daaah huo mti ume nikumbushia mbali sana kipind hicho tuna toroka shule kwenda kuokota matunda ya huo mti ni matamu sana yaani.
Kizazi jeuri JF-Expert Member Joined May 16, 2013 Posts 297 Reaction score 64 May 27, 2014 #31 Nimevuta bangi saana hapa so nimecheka saaaana yaaani saana bila kikomo yaani nimecheka kupita maelezo aiseee jf buruuuuuuudani yaani ni kuswich oooooooon tuuuuu.
Nimevuta bangi saana hapa so nimecheka saaaana yaaani saana bila kikomo yaani nimecheka kupita maelezo aiseee jf buruuuuuuudani yaani ni kuswich oooooooon tuuuuu.
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,085 May 27, 2014 #32 Utashangaa mambo ya kipuuzi puuzi kama huu uzi Ndio watu wanatajadili zaidi
O ommymbwambo Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 192 Reaction score 66 May 27, 2014 #33 Mti upi huo.au wakiume.
M magamzi Member Joined May 26, 2014 Posts 29 Reaction score 5 May 27, 2014 #34 Hivi ni kweli mti huu hauanguki Hata kwa kimbunga
M maguzumasese2005 JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 642 Reaction score 171 May 27, 2014 #35 Dinazarde said: Uko wapii mtiii Click to expand... Upo nikuonyeshe
E El chollo Member Joined May 17, 2014 Posts 75 Reaction score 7 May 27, 2014 #36 kasaloo said: hata mi sioni Click to expand... uyu anatuchora
Mwelewa JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 2,343 Reaction score 3,286 May 27, 2014 #37 Huyu ameshindwa kuweka picha sasa ame-post thread bila kujua hakuna picha. Anyways ndio maajabu yenyewe hayo.
Huyu ameshindwa kuweka picha sasa ame-post thread bila kujua hakuna picha. Anyways ndio maajabu yenyewe hayo.
junior mzolo Senior Member Joined Jan 26, 2014 Posts 140 Reaction score 7 May 28, 2014 Thread starter #38 Dahhhh
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 736 May 28, 2014 #39 ------- zake
junior mzolo Senior Member Joined Jan 26, 2014 Posts 140 Reaction score 7 May 28, 2014 Thread starter #40 Aliye post ni nani huyo,,,,,,,