Maajabu ya dunia! Mimba iliyodumu kwa miaka 46

Maajabu ya dunia! Mimba iliyodumu kwa miaka 46

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,392
Reaction score
8,295
Hii video ni ndefu kidogo lakini nakusihi utafute muda uitazame ili uone maajabu ya mwanamke aliyekaa na ujauzito kwa miaka 46.

 
Last edited by a moderator:
Hahaha, huyo mbebaji hakuingia siku zake miaka 46?

Au hapa inakuwaje?
 
Mwenyezi Mungu mkubwa huyo mtoto amekaa mpaka kawa kama jiwe tu lisilokuwa na madhara kwa mama
 
Hii dunia kweli haishi maajabu,pole na hongera mbebaji wa mimba
 
Back
Top Bottom