financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,514
Kwani vipi mkuu, umemuelewa eeeh? Fungukaaa[emoji3] [emoji3]Hivi mkuu huyo ni wewe au msauthi anavyo onekana
Kwani vipi mkuu, umemuelewa eeeh? Fungukaaa[emoji3] [emoji3]Hivi mkuu huyo ni wewe au msauthi anavyo onekana
Nitafunguka kama nitakutana nae jicho kwa jicho nijaribu bahati yangu ya mtendeKwani vipi mkuu, umemuelewa eeeh? Fungukaaa[emoji3] [emoji3]
Hivi we jamaa upo ?!kumbe nimewahi siti ya mbele kabisa
Acha bana...Kaugonjwa ka wengi haka, mnapita kimya na tayari mate yameshawakauka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nipo chiefHivi we jamaa upo ?!
Pmj sana kiongozinipo chief
Labda mwezi ujao
Mwezi huu wengi wananuka midomo balaa
Vipi tena?Oooh!
Acha bana...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nawaza tu.Vipi tena?
Siyo Mimi na wala sielekeani naye kabisa yani, ni msouth huyooNitafunguka kama nitakutana nae jicho kwa jicho nijaribu bahati yangu ya mtende