Nadhani nilishaandika kuhusu haya ngoja nitachekiMshana in the building,,,,! Ikikupendeza siku tuletee uzi utueleze kvp maiti za vichanga ni dili sana,,,, hata hospitalini nasikia unaweza kuibiwa kichanga,, uelezee pia kiundan matumizi ya ile damu ya mama alojifungua (chupa inapopasuka) nasikia kwenye ulimwengu wa giza hivi vitu ni applicable sana ,,, Sorry nje ya mada
Tag if possible,,,, ! Dunia ina mengi sanaNadhani nilishaandika kuhusu haya ngoja nitacheki
@mods Active futeni huu uharo aiseee.
Mods wako chap😂😂Intelligent businessman kijana wako ameshakula ban kwa kunitukana Asante sana Moderator
nimekuta tyr kala banNaona Eli Cohen kashapigwa bann. Na ni wewe ndiye umemchongea
ana haribu malengo ya Uzi, kuji heshimu ni kitu kidogo.Intelligent businessman kijana wako ameshakula ban kwa kunitukana Asante sana Moderator
Kobaaz Yamezidi sana kuzama chumvini. Si unaona hule mdomo wa Azizkii.
Ila hapa ni malovee tupu hakuna tunguli kabisa😁 labda ndele hiyo ya samaki dume😀