Maajabu ya asali mbichi

Mkuu Ndohu, mimi ntakuuzia asali kwa shs.9,500/kg(Lita) kama utanunua kuanzia kg/Lita 5-10, na below 5 nitakuuzia shs.10,500. PM kwa order tu,napatikana Dar-pure asali ya Tabora.

Ngoma nzito mchuuzi na mfanyabiashara
 
Ni kati ya Sikonge na Mpanda. Kuna beekeepers tuliowatrain ndio nilipochukua hiyo asali kwao, tena walikuwa wanajiaandaa kupeleka kwa maonesho.
Unahitaji?

No thank you,sihitaji asali kwa sasa maana nina stock ya kutosha!
 
Asali Tabora ina NICOTINE haifai!
 

Tatizo nani atakuruhusu kufanya zoezi lote hilo kwenye biashara yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…