twiga akipanda ndege hatuongehi
leo lowasa kapanda daladala ni maneno kila kona watanzania mbadilike
Ndio ujiulize CCM imesfikisha wapi nchi...bahat mbaya hata magufuli anapoteza muda kuelezea vitu CCM wameshindwa,akidhani anawalaumu sana upinzani.twiga akipanda ndege hatuongehi leo lowasa kapanda daladala ni maneno kila kona watanzania mbadilike
d tarimo ....Jifunze kiswahili fasaha kwanza. "Mahajabu" ndiyo nini? "Hatuongehi" ndiyo kiswahili gani?