Nakuunga mkono, kiuno na miguu. Maajabu maajabu hilo la kutafuta umaarufu wa mlima Kilimanjaro kwa kura ndio maajabu, mlima wenyewe wameshindwa kuuhifadhi kina mangi wamemaliza misitu kwa kutafuta utajiri. Barafu inayeyuka mlima umebaki kipara bado tunataka uwe maajabu, Kwa nini tusirekebishe hayo mapungufu kwanza mie nimesema.