Maajabu saba ya asilia barani Afrika:

Maajabu saba ya asilia barani Afrika:

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Mtangazo ya kutangaza Maajabu saba ya asilia barani Afrika (The declaration ceremony of Seven Natural Wonders of Africa), yanaendelea kutangazwa moja kwa moja kutoka Jijini Arusha: baadhi ya vivutio saba kuwa vimepata kura nyingi ni vya Tanzania, ikiwemo mbuga ya Serengeti, mlima Kilimanjaro na Ngorongoro Crater. Mgeni rasmi katika sherehe za kutangaza maajabu saba barani Afrika ni Waziri Mkuu Mh. Pinda.
Na vivutio baadhi vilivyotajwa kuwa kwenye maajabu saba ni;
- Mlima Kilimanjaro
- Victoria Fall
- River Nile
- Ngorongoro Crater
- Jangwa la Sahara
- Serengeti National Park

Source by: TBC (live broadcasting)
 
eh kilimanjaro imefanikiwa kuingia

... Ni vema sana kwa Mlima Kilimanjaro kutangazwa kwenye vivutio tulivyonavyo, hasa kwa wakati huu ambapo Wakenya walikuwa wakitupiga bao la kisigino kwa usemi wao wa kwenye matangazo ya utalii nchini mwao na vyombo vya habari vya nje ya nchi yao kuwa "NJOO UTEMBELEE KENYA UONE MLIMA KILIMANJARO"
'aka kausemi kao nilikuwa sikapendi kabisa, kanaujumu utalii wa Tanzania'
 
safi at least watu hawajapoteza nguvu bure

Ni kweli, nguvu yetu ya kupiga kura imeleta mafanikio kwa nchi yetu Tanzania. Kumbuka kuw tuna vivutio vyingi sana, kama Wizara ya Utalii ikiongeza nguvu katika kuitangaza Tanzania kimataifa tunaweza kuwa kwenye nchi zenye vivutio vizuri sana Ulimwenguni.
 
Mtangazo ya kutangaza Maajabu saba ya asilia barani Afrika (The declaration ceremony of Seven Natural Wonders of Africa), yanaendelea kutangazwa moja kwa moja kutoka Jijini Arusha: baadhi ya vivutio saba kuwa vimepata kura nyingi ni vya Tanzania, ikiwemo mbuga ya Serengeti, mlima Kilimanjaro na Ngorongoro Crater. Mgeni rasmi katika sherehe za kutangaza maajabu saba barani Afrika ni Waziri Mkuu Mh. Pinda.
Na vivutio baadhi vilivyotajwa kuwa kwenye maajabu saba ni;
- Mlima Kilimanjaro
- Victoria Fall
- River Nile
- Ngorongoro Crater
- Jangwa la Sahara
- Serengeti National Park

Source by: TBC (live broadcasting)
Mbona umelist maajabu sita tu mkuu, hilo ajabu la saba ni lipi?
 
hii habari inaonesha sasa kinana mtaalamu wa tembo amefurahishwa kupata exposer .atauzaje?
 
hii habari inaonesha sasa kinana mtaalamu wa tembo amefurahishwa kupata exposer .atauzaje?

... Huyu jamaa ndiye katufanya tupungukiwe' mpaka sasa asinge kuwa yeye kuwapunguza tembo, tunge kuwa na tembo wengi mno, mpaka tembo wetu wakaingia kwenye orodha ya saba bora Afrika.
 
kbm;

Na ndiyo kura tupigeje?
Hebu funguka angalau kwani wengine kuangalia tbc ni ndoto.
 
Last edited by a moderator:
Mtangazo ya kutangaza Maajabu saba ya asilia barani Afrika (The declaration ceremony of Seven Natural Wonders of Africa), yanaendelea kutangazwa moja kwa moja kutoka Jijini Arusha: baadhi ya vivutio saba kuwa vimepata kura nyingi ni vya Tanzania, ikiwemo mbuga ya Serengeti, mlima Kilimanjaro na Ngorongoro Crater. Mgeni rasmi katika sherehe za kutangaza maajabu saba barani Afrika ni Waziri Mkuu Mh. Pinda.
Na vivutio baadhi vilivyotajwa kuwa kwenye maajabu saba ni;
- Mlima Kilimanjaro
- Victoria Fall
- River Nile
- Ngorongoro Crater
- Jangwa la Sahara
- Serengeti National Park

Source by: TBC (live broadcasting)
Wangweka na ya nane Nina uwakika watanzania wangeshinda kwa kuwa ajabu kuliko ajabu yenyewe
 
Moja ya maajabu saba ni Red Sea (Bahari ya Shamu)

... Sawa kabisa umepatia'
ni "Okavango Delta"

Afrika tuna utajiri mkubwa sana, tulitakiwa kuwa bara linaloongoza ulimwengu kwa maendeleo. Cjui nani alitupoteza!
 
Wangweka na ya nane Nina uwakika watanzania wangeshinda kwa kuwa ajabu kuliko ajabu yenyewe

... Mkuu' kufuatana na viongozi wetu kuwa wadhaifu' watanzania hatutafaidi chochote nahayo MAAJABU 3 yaliyoshida:
01. Mlima Kilimanjaro
02. Ngorongoro Crater
03. Serengeti N/park!

Hapa watakao faidi ni wawekezaji na wanaCCM wajanja wachache wenye akili kama ya Rostam na wenzake wenye kupenda kujilimbikizia mali kama akina ...
 
Inapendeza sana. Lakini Tanzania tutapata nini? Na hizo 'The three natural wonders' tuliweza kuzipitisha?
Wenye ufahamu watujuze, au kama walivyoelezea' Kenya ndio tumeisha wapa ulaji?
 
Good. Ngoja nijipange at least ni visit one of the three. Yes utalii wa ndani unahusika, maana kuna wengine wataona kuwa hivi ni vivutio vya Wazungu tu.
 
Ni kweli, nguvu yetu ya kupiga kura imeleta mafanikio kwa nchi yetu Tanzania. Kumbuka kuw tuna vivutio vyingi sana, kama Wizara ya Utalii ikiongeza nguvu katika kuitangaza Tanzania kimataifa tunaweza kuwa kwenye nchi zenye vivutio vizuri sana Ulimwenguni.

upo sahihi kabisa kiongozi,
sisi tulikuwa tumelala, na wizara ya utalili ndio kabisa imedorora. tuna vitu vingi sana ambavyo tungetaka viwe vivutio vya kutuletea pesa tungeweza sema hatu serious kabisa. vivutio havikarabatiwi yani kenya wanatamani tanzania ingekuwa ya kwao wafaidike nayo.
anyway mwanzo huu ni mzuri na tukijitahidi zaidi tuna mengi ya kushangaza dunia tukiamua.
 
Back
Top Bottom