Maajabu nane ya Reli mpya ya Dar - Moro

..reli itakapokamilika ndiyo utaweza kuzungumzia maajabu yake.

..kwa sasa hivi mradi upo ktk hatua ya maandalizi ya eneo la ujenzi, pamoja na ku-design miundombinu itakayojengwa.

..mradi utakapokamilika ndipo tutakapoweza kutamka kwa uhakika kama kuna "maajabu" au la.

..
 


..Tazara siyo Standard gauge.

..reli hiyo ni ya Cape gauge.

..naamini walitumia Cape gauge ili waweze kuiunganisha na reli zilizoko Kusini mwa Afrika

..ANGOLA wameijenga upya reli toka bandari ya Lobito kuelekea mpakani na DRC.

..Reli hiyo ina urefu wa km 1344 na imejengwa kwa kutumia Cape gauge.

NB.

..Standard gauge ni 1435 mm.

..Cape gauge ni 1067 mm.
 
Ajabu ni nini hapo? Au ni ugunduzi wa kwanza duniani? Tuache ushamba, kama tunahitaji maendeleo, tuyatafute kwa juhudi zote na tuanze kufaidika nayo, siyo kila siku kuletewa ngonjera za kusifia mambo ambayo hata hayajakamilika.
 
Hutawaona majizi chadema wakipongeza kwenye uzi huu, lakini ikikamilika ndio wa kwanza kupanda!

Sasa hivi wako bize kupongeza maendeleo ya nchi zingine ,kenya rwanda, ethiopia marekani etc.
KWAHIYO WATU WATAKUWA WANAPANDA RELI NA SIO TRENI
 
Naomba
Naomba kufahamishwa hivi reli ya TAZARA gauge yake ni ipi? Natambua ni pana kuliko hii ya Wakoloni-TRL. Je haizidi au hailingani na hii 1.435m?
 
Hutawaona majizi chadema wakipongeza kwenye uzi huu, lakini ikikamilika ndio wa kwanza kupanda!

Sasa hivi wako bize kupongeza maendeleo ya nchi zingine ,kenya rwanda, ethiopia marekani etc.

Mahakama ya Mafisadi ilianzishwa ili kuwa maonyesho? Hawa inzi wa kijani bure kabisa

Sasa ndio maana CCM mnakosa hoja za kushawishi wananchi, NEC Na polisi ndio msaada wenu

Chenge, Tibaijuka, Rostam, etc si wako CCM?

Be headed Hen wahead!!!!
 
..Tazara siyo Standard gauge.

..reli hiyo ni ya Cape gauge.

..naamini walitumia Cape gauge ili waweze kuiunganisha na reli zilizoko Kusini mwa Afrika.

NB.

..Standard gauge ni 1435 mm.

..Cape gauge ni 1067 mm.

Asante.....
Nimeuliza swali kwa haraka bila kusoma comments mpaka mwisho
 
Hutawaona majizi chadema wakipongeza kwenye uzi huu, lakini ikikamilika ndio wa kwanza kupanda!

Sasa hivi wako bize kupongeza maendeleo ya nchi zingine ,kenya rwanda, ethiopia marekani etc.

Tatzo haliko kwako bali chimbuko lako, inaonekana wawili wale walikuwa wamelewa sana kiasi kwamba wakasaau kuwa walikuwa hawana mpango wa kupata mtoto
 
Muwe macho wenye MABUS wanaotoa huduma Moro - Dar. Baada ya kuanza kazi treni za mwendo kasi itabidi muyaegeshe MABUS yenu. Wafanyakazi watakuwa wanafanya kazi Dar na kuishi Morogoro. Kweli maendeleo ni kitu kingine.
 
Vipi, nasikia na flyover ya Ubungo michoro imebadilika baada ya kugundua kuwa designers wa mwanzo wali overestimate kiasi cha magari yatakayopita. Ni kweli!?
Mkuu wa mkoa anataka yapite 100! tu kwa siku !!
 
wekeni picha, mbona hamna kapicha hata kamoja na mnatuambia mmefika asilimia 75 ya ujenzi hadi moro? kapicha please!
 
Hutawaona majizi chadema wakipongeza kwenye uzi huu, lakini ikikamilika ndio wa kwanza kupanda!

Sasa hivi wako bize kupongeza maendeleo ya nchi zingine ,kenya rwanda, ethiopia marekani etc.
Tumieni wenyewe sisi tutangoja nauli mtangaze n hapo ndiyo utajua nani katengenezewa mjenzi, Mtawala, au raia, msifikie mahali mkasema kupanda mabasi ni uchochezi.
 
Muwe macho wenye MABUS wanaotoa huduma Moro - Dar. Baada ya kuanza kazi treni za mwendo kasi itabidi muyaegeshe MABUS yenu. Wafanyakazi watakuwa wanafanya kazi Dar na kuishi Morogoro. Kweli maendeleo ni kitu kingine.


..biashara ya mabasi bado itakuwepo.

..mabasi yatahudumia wanaosafiri muda ambao kutakuwa hakuna treni.

..msemaji wa trl amesema treni itasafiri mara 3 au 4 na inasimama ktk vituo[dsm, pugu,soga,ruvu,ngerengere,morogoro] vichache kulinganisha na mabasi.

..kwa uzoefu wangu, reli za abiria za kisasa hawaruhusu mizigo ya walalahoi kama matenga ya nyanya, ndizi, kuku, etc. Kwa hiyo usishangae mabasi yakaendelea kuwa kimbilio la wasafiri wenye vipato vya chini.
 
Hivi wewe ni kipi haswa ndo utakiunga mkono?Tusipokuwa na miundombinu kama SGR na flyovers mnasema nchi imepitwa na teknolojia tukijikakamua kuboresha mnaponda juhudi hizi.Hapa kazi tu ukisikiliza miluzi mingi utapotea.
 
Vipi, nasikia na flyover ya Ubungo michoro imebadilika baada ya kugundua kuwa designers wa mwanzo wali overestimate kiasi cha magari yatakayopita. Ni kweli!?
Ulisikia kutoka kwa nani?Kama ulisikia kupitia taarifa ya serikali weka source sio kuleta habari za kusikia.
 
Approach hii ya kujenga kipande kipande utatugharimu sana. Tusubiri tutakumbudhana pia na bei iliyokuwepo kujenga reli nzima.
Haba na haba hujaza kibaba ukisema usubiri hela ya pamoja tutachelewa kuimarisha miundombinu.Kinachopatikana kinatumika kwa wakati husika.Unaweza kudunduliza mafisadi yakapora hicho kidogo tulichodunduliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…