Ashura9 JF-Expert Member Oct 21, 2012 740 485 Mar 17, 2016 #1 Maajabu ya Mungu: Mtoto akanyagwa na gari na kuamka na kuendelea kukimbia, tazama hapa chini:
ffn Senior Member Jan 11, 2014 131 29 Mar 17, 2016 #2 Huyo mtoto kaumia japo ameweza kusimama.. Watoto wanahitaji uangalizi wa karibu sana!
manuu JF-Expert Member Apr 23, 2009 4,064 10,731 Mar 17, 2016 #4 Dah Mungu mkubwa kama siku yako haijafika...Utatumbukia wami na utatoka salama...
Enzymes JF-Expert Member Feb 14, 2013 4,332 3,008 Mar 17, 2016 #5 Hii habari ipo jukwaa la Biashara na Uchumi hadi hapa napumlia machine kuelewa!!
DesertStorm JF-Expert Member Nov 22, 2015 3,014 2,417 Mar 20, 2016 #6 Hii taarifa ilitakiwa ipelekwe International forum..humu c mahala pake
MOTOCHINI JF-Expert Member Jan 20, 2014 27,778 30,749 Mar 20, 2016 #7 Mungu hajataka kuichukua rohoyake