Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Dawa ya macho kula Karoti.Macho vipi haitibu?.
Tia chumvi kuipa ladha nzuri.Hili tango unalila peke yake bila hata chumvi
Tango ni kitu cha ajabu sana, kuna mda niliamua kunywa juisi yake grasi kama 5 hivi usiku nilipata shida sana, kila nikishtuka nilikuwa nakuta nimelowa chapa chapa kama vile nimetoka mtoni. Mwanzo sikuelewa lakini nikagundua hii hari ilikuwa inatokea kila nilipkuwa nikitumia ile juisi ..nahisi inafanya kazi kubwa sana mwilini.
Tango la kizungu (Cucumber)Ntahitahidi... Tango pori au la kizungu? Mkuu
Kwa kuwa haliongezi nguvu za kiume sio tunda maarufu kwa vijana. Maana vijana wa siku hizi hata ukiwaambia kula mavi kutaongeza nguvu za kiume basi watabugia bila ya kinyaa
dildoooo
Umesahau kuwa linaweza kutumika kama "dildo"
shukran Mkuu MziziMkavuTango la kizungu (Cucumber)
Hili tango unalila peke yake bila hata chumvi