Mambo matano kuhusu wewe.
Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe
Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe Wewe
1. Wewe ni mvivu sana. Hujasoma "Wewe" zote.
2. Hujagundua kuna mahali nimeandika "Wew".
3. Sasa unatafuta hilo neno "Wew".
4. Sasa unacheka kwa kuona hakuna "wew"
5. Sasa unawaza kuwaforwardia wengine kama wewe!
SASA NAJUA MAMBO 13 KUHUSU WEWE.
1. Unatumia intanet
2. Upo Jamii Forums
3. Umefungua post yangu.
4. Sasa unaendelea kusoma
5. Wewe ni binadamu
7. Huwezi kutamka herufi "P" bila kutenganisha lips zako.
8. Nakuona unajaribu kutamka "P"
9. Unajichekea mwenyewe.
10. Uso wako unaonesha tabasamu
11. Umeruka namba .6
12. Sasa unarudi kuangalia juu kama kuna namba .6
13. Unacheka tena kwa sababu nimekukamata..
Nimekukamata sijakukamata!