Eti hawa nao bado ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa tovuti ya Bunge;
1. William Mgimwa (Mb) jimbo la Kalenga
2. John Damiano Komba (Mb) Jimbo la Mbinga Magharibi
3. Zitto Zuberi Kabwe (Mb) Jimbo la Kigoma kaskazini
4. Bwanamdogo Ramadhan Said (Mb) Jimbo la Chalinze
Hii ni taasisi kubwa na ni Mhimili mmojawapo wa Dola hebu acheni uvivu.
Zitto ungemtenga kidoogo! kwenye hilo kundi hayupo.

Hata ku update website yao wanashindwa...
Tunachoweza TZ kwa 100% ni UFISADIEti hawa nao bado ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa tovuti ya Bunge;
1. William Mgimwa (Mb) jimbo la Kalenga
2. John Damiano Komba (Mb) Jimbo la Mbinga Magharibi
3. Zitto Zuberi Kabwe (Mb) Jimbo la Kigoma kaskazini
4. Bwanamdogo Ramadhan Said (Mb) Jimbo la Chalinze
Hii ni taasisi kubwa na ni Mhimili mmojawapo wa Dola hebu acheni uvivu.
Eti hawa nao bado ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa tovuti ya Bunge;
1. William Mgimwa (Mb) jimbo la Kalenga
2. John Damiano Komba (Mb) Jimbo la Mbinga Magharibi
3. Zitto Zuberi Kabwe (Mb) Jimbo la Kigoma kaskazini
4. Bwanamdogo Ramadhan Said (Mb) Jimbo la Chalinze
Hii ni taasisi kubwa na ni Mhimili mmojawapo wa Dola hebu acheni uvivu.
Tunachoweza TZ kwa 100% ni UFISADI