Hiyo shule ni ya misukule.., hakuna mzazi atapeleka mtoto hapo..
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule hiyo kwani Mwalimu mkuu wa shule hiyo katika kikao cha Halmashauri kilichofanyika ili kupanga mikakati ya kuinua Elimu aliweza kuelezea kuwa shule yake ya SEFANONI ina WALIMU WAWILI TU yaani yeye na mwalimu mwingine, Shule ina MADARASA MAWILI TU, Shule ina IDADI YA WANAFUNZI 500, Ebu tujifikirie kwa idadi ya wanafunzi hawa, idadi ya Madarasa na walimu je kuna elimu inayotolewa hapo? na kusikitisha Afisa Elimu ametoa taarifa kwa msisitizo kuwa Serikali kupitia hii BRN wilaya imepewa kiwango cha ufauru lazima kifikie 68% na yeye amesema wao kama Wilaya wamejiwekea 70% ya Ufauru, Je kwa hali ya Shule zinazolingana na hiyo ya SEFANONI malengo hayo yatatimia au ni kuendeleza USANII katika suala zima la elimu hapa nchini?

mwalimu hapo kwenye taaruma ni taaluma na ufauru ni ufaulu...
Halafu ungeweka ushahidi wa picha ili habari yako tuiamini vinginevyo ni uzushi.
mbunge ambako iko hiyo shule ni wa chama gani? Na halmashauri inayosimamia shule hiyo inaongozwa na chama gani?
mbunge ni mwigulu nchemba h mashauri ni ccm
ha ha ha nilitaka kukujibu post yako ya awali lakini kwa kukurupuka huku bila kujua unachoandika au kilichoulizwa nakuweka kwenye fungu la vilaza...
Inaonekana mwigulu kajaa kwenye akili yako sio?
Muulize tena kibogo wa manyoni ni nani teh teh teh
au soma thread yote kwa umakini then acha groupthink hizo...
Ha ha ha ha lione
unafikiri c elewi km c mwigulu,naelewa wazi c mwigulu.nimesema mwigulu makusudi ili ujumbe ufike kwa wengi
ha ha ha umechemka kalale ukue
kalale?unaonekana haupo tz.pole
kwahiyo kulala hadi uwe tz? Ha ha ha
wananchi wa maeneo hayo mliosambaa nchi nzima oneni aibu na mchukue hatua. Hili sio jambo la kawaida.
we ni k kubwa sahvi sangapi?umewahi kusikia wapi watu wanalala asubuhi?ndyo mana nimesema upo nje ya nchi.
Wananchi wa maeneo hayo mliosambaa nchi nzima oneni aibu na mchukue hatua. Hili sio jambo la kawaida.