Maajabu: Iraq Airways still operational!!

Tatizo mkiona kwenye TV Iraq kuna vita mnadhanj kila mji, mtaa , kichochoro wanapigana. Mapigano ni baadhi ya sehem vitu vingine vinaendelea kama kawaida kuna watoto wanazaliwa na wanaenda shule huko Iraq, kuna bank zinafanya kazi lakini media zimekaa kuonyesha mapigano na kuzungumzia kwamba kote kuna vita.
 
Iraq airways inatua Ulaya destinations kibao (zikiwemo London, Berlin na Frankfurt) na Asia wanaenda Beijing tusiwachukulie poa
 
Kwa uelewa wako mdogo au mkubwa , serikali ni nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…