HAYA TUSAIDIANE HAPA:
wanafunzi walioomba mkopo HESLB = 70,000
garama ya maombi= 50,000/= kila mwanafunzi
kiasi kilichoingizwa na HESLB = 70,000*50,000/=
=3,500,000,000
SASA BASI,
tumeambiwa waliofanikiwa kupata mkopo ni
12,000(kumbuka sio wote wamepatiwa 100%)
tukichukua wastani wa 3,000,000/= kwa kila
mwanafunzi kwa mwaka,then 12,000*3,000,000/=
utapata 36,000,000,000
tukichuku kilichokusanywa na HESLB ambacho ni
3,500,000,000/= tukigawa kwa 36,000,000,000/=
tutapata 9.72%...ina maana kadirio la10% kwenye
mfuko wa kuwakopesha wanafunzi imetoka kwa
wanafunzi hao hao....
KWAHIYO
tunaweza ku assume kilichotengwa na serikali
kuwasomesha wanafunzi ni 36,000,000,000-
3,500,000,000 = 32,500,000,000 ambacho ni
kadirio la 2,700,000/= kwa mwaka kwa kila
mwanafunzi kutoka kwenye bajeti ya serikali..
JIULIZE
ni shingapi ilitumika
1.kumlipa Dr.mihogo
2.kumlipa profeseli
3.kuwalipa watu tanzania nzima ili wahudhurie
mikutano
3.kuwalipa waigizaji na wanamziki
4.kulipa malori ya kusomba watu
5.kulipia na kutengeneza matangazo ka
kampeni...
"MLIAMBIWA ATAKAE ISOMA NAMBA SIO
LOWASSA NI SISI MASKINI"

Tumeipenda wenyewe, acha tuisome namba.
Kwa hiyo jumla ni 80,000/-..??Kazi nzuri, ila marekebisho kidogo ni kuwa HESLB tulilipia Tsh. 30,000 na sio Tsh. 50,000... TCU ndio tulilipia Tsh. 50,000. Naomba niendelee kuisoma namba......
Kwa hiyo jumla ni 80,000/-..??
Namba inayosomwa hapa kama si shufwa basi witiri
HAYA TUSAIDIANE HAPA:
wanafunzi walioomba mkopo HESLB = 70,000
garama ya maombi= 50,000/= kila mwanafunzi
kiasi kilichoingizwa na HESLB = 70,000*50,000/=
=3,500,000,000
SASA BASI,
tumeambiwa waliofanikiwa kupata mkopo ni
12,000(kumbuka sio wote wamepatiwa 100%)
tukichukua wastani wa 3,000,000/= kwa kila
mwanafunzi kwa mwaka,then 12,000*3,000,000/=
utapata 36,000,000,000
tukichuku kilichokusanywa na HESLB ambacho ni
3,500,000,000/= tukigawa kwa 36,000,000,000/=
tutapata 9.72%...ina maana kadirio la10% kwenye
mfuko wa kuwakopesha wanafunzi imetoka kwa
wanafunzi hao hao....
KWAHIYO
tunaweza ku assume kilichotengwa na serikali
kuwasomesha wanafunzi ni 36,000,000,000-
3,500,000,000 = 32,500,000,000 ambacho ni
kadirio la 2,700,000/= kwa mwaka kwa kila
mwanafunzi kutoka kwenye bajeti ya serikali..
JIULIZE
ni shingapi ilitumika
1.kumlipa Dr.mihogo
2.kumlipa profeseli
3.kuwalipa watu tanzania nzima ili wahudhurie
mikutano
3.kuwalipa waigizaji na wanamziki
4.kulipa malori ya kusomba watu
5.kulipia na kutengeneza matangazo ka
kampeni...
"MLIAMBIWA ATAKAE ISOMA NAMBA SIO
LOWASSA NI SISI MASKINI"
Kazi nzuri, ila marekebisho kidogo ni kuwa HESLB tulilipia Tsh. 30,000 na sio Tsh. 50,000... TCU ndio tulilipia Tsh. 50,000. Naomba niendelee kuisoma namba......