Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,105
- 18,005
Umeona eeh! ndo atakuwa kaweka salary slips anafanya show off kwa salary ya 1.2m.......
Natumai umepata ufafanuzi uliouhitaji..
Ila kuna wadau kupitia comments zao unaona kabisa roho ziewauma kwa huu mshahara wako..
Inaonesha ni jinsi gani umaskini na roho mbaya vimetutamalaki..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Yes upo sahihi, mimi kwangu pia wamerekebisha, ni ilikuwa nadaiwa 4.1 imebakia 1.4. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuondolea huu uchuro unaitwa retention fee, ametusaidia sana maana deni lilikuwa haliishi! Nilitumia 7M lakini kwasababu ya retention deni likawa 11..MMwezi uliopita kuna mtu alinambia kuwa baada ya Rais samia suluhu kuingia madarakani kuna retaining fees iliondolewa, nilienda kuhakiki deni langu ambalo lilikuwa linasoma mil 4.4, ila statement waliyonipa ilionyesha nadaiwa mil 1.4, nikawauliza mbona kunatofauti wakaniambia kabla ya mwezi wa pili watarekebisha zisome sawa za loarnboard na kwenye slip....
Ingia kwenye website ya bodi ya mkopo, hakikisha unajisajili, na ukiwa na index namba ya form fourHivi nawezaje kuangalia deni ninalodaiwa??
Ni wapi alisema Kuwa yeye ni Mwalimu?Kwa hiyo mwalimu hapo umeona serikali ya ccm imekujali, kukuondolea 1.8m kwenye loni bodi hadi umekuja kuanika salary slip..........mwalimu mfike mahali muanze kujitambua.
Mkuu huo siyo mshahara wa kuniumiza roho maana wa kwangu unaufunika huo mara tano, sema sipendi maonyesho ya kutambia kipato maana wapo wengi sana wanaona hata huo ninaopata ni punje tu wakilinganisha na vipato vyao.......Kweli kabisa. Mmoja wao huyu Nyumisi
Mkuu huo siyo mshahara wa kuniumiza roho maana wa kwangu unaufunika huo mara tano, sema sipendi maonyesho ya kutambia kipato maana wapo wengi sana wanaona hata huo ninaopata ni punje tu wakilinganisha na vipato vyao.......
Kwa hiyo mwalimu umeona ulivyo boya ee, 1.2m ni pesa ya matumizi ya siku moja tu kwa wengine.......kwa hiyo ni uzwazwa kujivunia salary ya 1.2m labda kama umetoka background ya kimaskini sana ndo utaona big deal...naona zile salary slips zako umeziondoa maana ulionekana kituko😃Unaona akili yako ndogo ilikokupeleka tangu mwanzo. Eti mtoa mada anatamba na 1.2 million!! Mtoa mada hakuwa na mwelekeo huo hata kidogo. Kama ni kutamba mtambie mke wako anayekuelewa. Hapa JF umtambie nani. Mi sikufahamu na wewe haunifahamu. Hata kama mshahara wako ni bilioni kwa mwezi, mi itanisaidia nini?
KwakoYes upo sahihi, mimi kwangu pia wamerekebisha, ni ilikuwa nadaiwa 4.1 imebakia 1.4. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuondolea huu uchuro unaitwa retention fee, ametusaidia sana maana deni lilikuwa haliishi! Nilitumia 7M lakini kwasababu ya retention deni likawa 11..M
Kwako walitoa rentetion fee na penalty mimi kwangu naona wamepunguzaYes upo sahihi, mimi kwangu pia wamerekebisha, ni ilikuwa nadaiwa 4.1 imebakia 1.4. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuondolea huu uchuro unaitwa retention fee, ametusaidia sana maana deni lilikuwa haliishi! Nilitumia 7M lakini kwasababu ya retention deni likawa 11..M
wa hiyo mwalimu umeona ulivyo boya ee, 1.2m ni pesa ya matumizi ya siku moja tu kwa wengine.......kwa hiyo ni uzwazwa kujivunia salary ya 1.2m labda kama umetoka background ya kimaskini sana ndo utaona big deal...naona zile salary slips zako umeziondoa maana ulionekana kituko😃
Kwamba wamepunguza zaidi ya hiyo retention fee na penalt? Mimi kwangu kuna charge flani imebaki kama laki tisa hivi hiyo hawajaiondoaKwako
Kwako walitoa rentetion fee na penalty mimi kwangu naona wamepunguza
Hahaha..........sawa mwalimu, ila usirudie tena kufanya mashindano ya kipato, utaaibika.Farerrr sana wewe. Hauna hata akili ya kujua mtoa mada ni nani. Unaweza kweli kuvuka barabara salama bila ya kusaidiwa na mamako kweli wewe? Aliyetoa mada ni huyu hapa chini (Mtamboo). Mi ni Omusolopogasi. Mtoa mada hakutoa mada ili kukuonyesha kuwa 1.2 M anayopata ni nyingi. Hiyo ni akili yako mbovu tu ndio inayo kupeleka huko. Kumbe ungekuwa na mshahara mzuri ungefungua uzi hapa na kuweka salary slip zako. Bahati nzuri unatembeza madodoki mtaani.
View attachment 2104545
Hahaha..........sawa mwalimu, ila usirudie tena kufanya mashindano ya kipato, utaaibika.
Mimi kwangu penarty na rentetion fee imebaki laki tisaKwamba wamepunguza zaidi ya hiyo retention fee na penalt? Mimi kwangu kuna charge flani imebaki kama laki tisa hivi hiyo hawajaiondoa