brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 896
Na nitumiemimi@gmail.com
1. Mwaka 2018 akiwa Rc Mkoa wa Mjini Magharib Zanzibar, mwenge ulizimwa Mkoani kwake na yeye akiwa kiongozi.
2. Mwaka huu 2020 April, Mwenge unawashwa Mkoa wa kusini Unguja, na yeye akiwa Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja
3. Ni kiongozi kijana anayeangaziwa zaidi na vyombo vya habari ndani na nje ya Zanzibar
4. Ni kiongozi kijana mwenye wafuasi wengi zaidi.
5. Ni mkuu wa Mkoa wapekee aliyeondoka kwenye uongozi na kuwa mtumishi wa wananchi
6. Ni Mkuu wa Mkoa anayehudumia wananchi wa Mikoa yote
7. Ni Mtumishi muadilifu, mkweli, mtendaji na mwenye maono
8. Ni mkuu wa mkoa wa kwanza kutoa zawadi mbalimbali kwa wanafunzi waliofanya vizuri, na kuwalipia ada.
9. Ni kiongozi wapekee aliyevunja record ya uchangishaji damu akiwa mkuu wa mkoa wa Mjini Mgharib
10. Ni Mtumishi wapekee mwenye kusaidia yeyote hata kama hamjui
11. Ni kiongozi kijana mwenye mvuto zaidi kwa wananchi.
12. Ni kiongozi kijana wa mwanzo kufanya mashindano ya mbio za baiskeli na yeye akiwa muendeshaji.
13. Ni kiongozi kijana anayegusa moja kwa moja maisha ya kila mwananchi.
14. Ni mpambanaji, mtafutaji kwa ajili ya wananchi wake.
15. Si mwepesi wa kukata tamaa wala kurudi nyuma.
16. Anatumia muda wake mwingi kwa wananchi wake, kuliko familia yake
17. Ni kiongozi kijana aliyefanikiwa kuonesha utofauti wa kiutendaji ambao hukuzoeleka kabla
18. Ndiye mtumishi anayeongoza picha zake kutumwa mitandaoni.
19. Mtumishi wa mwanzo kuwatolea mahari vijana wanaotaka kuoa
20. Uhamisho wake uligusa wananchi wa ndani na nje ya Zanzibar.
21. Kiongozi kijana anayeogopwa zaidi na wapenzi wa jinsia moja
Je una maajabu mengine ya Mhe. Rc Ayoub?
Nitumie kwenye
Nitumiemimi@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app