Hizo safari nyingi zilikuwa kwenye falsafa ya umatonyaWamesafiri kwa awamu zote nne na hakuna cha maana walicholeta zaidi ni kutumbua hela na huku tunawatafuta watusaidie bila mafanikio.
Imagine daktari ambaye alikuwa anakaa mwezi nchini na mwezi mwingine nje, huyu anatufaa? Productivity yake iko wapi?
Wamesafiri kwa awamu zote nne na hakuna cha maana walicholeta zaidi ni kutumbua hela na huku tunawatafuta watusaidie bila mafanikio.
Imagine daktari ambaye alikuwa anakaa mwezi nchini na mwezi mwingine nje, huyu anatufaa? Productivity yake iko wapi?