N Ndege Tausi JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 992 Reaction score 476 Jul 4, 2014 #1 wakuu naomba mnieleweshe hivi hawa watu walifanya usaili lini maana naona wamepangiwa vituo kwenye mtandao wa ajira utumishi. Mi pia niliombaga hizi nafasi.
wakuu naomba mnieleweshe hivi hawa watu walifanya usaili lini maana naona wamepangiwa vituo kwenye mtandao wa ajira utumishi. Mi pia niliombaga hizi nafasi.