Joakim kamili alifukuzwa kazi kwa tuhuma za kujimilikisha shamba akiwa tanga baadae akajiliwa na kampuni binafsi dodoma ndipo alifia huko kwa ajali ya barabarani
Ooh, kumbe, pole sana, he was my hero kwa kumshughulikia jambazi sugu Kadogoo pale Moshi, Nakumbuka baba yake Kadogoo alimzawadia Sh. 60,000/= kwa kumuua mwanae tishio, enzi hizo ilikuwa fedha nyingi sana. Nasikia pia ni Kaka wa Rose Kamili mbunge wa CDM.
Sikujua maskini, RIP Joakimu
Saba sita yuko dar police sasa hivi ni afisa inspector wa police alipata promotion baada ya kuaandaa lile jeshi la kikoloni la police pale uwanja wa taifa Kikwete akafurahi sana akapandishwa cheo pia ni mtu wa kijituma sana kazini ni miongoni wa police wazalendo SABA SITA

Joakim kamili alifukuzwa kazi kwa tuhuma za kujimilikisha shamba akiwa tanga baadae akaajiliwa na kampuni binafsi dodoma ndipo alifia huko kwa ajali ya barabarani
Joakim aliajiliwa KONOIKE kama mkuu wa kitengo cha usalama kwenye mradi wa barabara ya lami Dom-Manyoni.
Kifo chake kilikua kibaya sana na cha utata alikanyagwa kichwa na dump truck za kampuni site na dereva akakimbia.
Namkumbuka Saba Sita alivyokuwa akitukimbiza na mbwa pale uwanja wa Sheikh Amri Abheid wakati wa mechi za mpira mf Ndovu na Aicc jamaa hakuwa na utani katika kazi.