MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Inawezekana uzi huu umeshapita hapa, Lakini naomba wanaJF kwa anayejua walipo maafande hawa waliowahi kuwahapa Arusha miaka ya nyuma:
Afande Sajent Mwambungu
Saba Sita
Sharpshooter Alex
Joakimu Kamili
Aliyefahamika kama Jobiso
Rasta blacky
Wapi Mkanasharp?Saba sita yuko dar police sasa hivi ni afisa inspector wa police alipata promotion baada ya kuaandaa lile jeshi la kikoloni la police pale uwanja wa taifa Kikwete akafurahi sana akapandishwa cheo pia ni mtu wa kijituma sana kazini ni miongoni wa police wazalendo SABA SITA
alikuwa anaitwa mkamasharp nilisikia RIP Ila sina hakikaWapi Mkanasharp?
alikuwa anaitwa mkamasharp nilisikia RIP Ila sina hakika
kapandishwa cheo wakati waziri mwakyembe alimtaja hadharani kuwa alikuwa anampango wa kumuua huko moroSaba sita yuko dar police sasa hivi ni afisa inspector wa police alipata promotion baada ya kuaandaa lile jeshi la kikoloni la police pale uwanja wa taifa Kikwete akafurahi sana akapandishwa cheo pia ni mtu wa kijituma sana kazini ni miongoni wa police wazalendo SABA SITA
kapandishwa cheo wakati waziri mwakyembe alimtaja hadharani kuwa alikuwa anampango wa kumuua huko moro
Wapi Mkanasharp?
Inawezekana uzi huu umeshapita hapa, Lakini naomba wanaJF kwa anayejua walipo maafande hawa waliowahi kuwahapa Arusha miaka ya nyuma:
Afande Sajent Mwambungu
Saba Sita
Sharpshooter Alex
Joakimu Kamili
Aliyefahamika kama Jobiso
Rasta blacky
duh jamaa alikua anajikoki manati, rungu, sime, bastola, pingu na makorokoro kibao full mikwara uwanja wa taifa
Uuuwiii:A S-cry:.... R.I.P. schoolmate. Alifariki mwaka gani kwa mwenye taarifa.Joakim kamili alifukuzwa kazi kwa tuhuma za kujimilikisha shamba akiwa tanga baadae akajiliwa na kampuni binafsi dodoma ndipo alifia huko kwa ajali ya barabarani
Watatu wa mwanzo wako kwenye nyumba hiyo
na wawili wa mwisho kila mtu ana kazi yake unavyoiona ...Jobiso ana saga rumba na rasta anafanya yake kama alivyokaa hapo chini
Koba Kimanga wa Dar, yupo?
hivi na yule police alikuwa central alikua anajifanya bondia koba kimanga hivi naye yuko wapi.....
koba yupo central police dar ni sajent