elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 82
Katika maisha ya kawaida hapa duniani kila mtu ana maadui zake... Kwa upande wangu maadui zangu mimi mwanaume ni MALI ZANGU, MKE WANGU NA WATOTO. Vitu hivi vitatu kama visipokuwa makini mwanaume unaweza jikuta katika mateso makubwa sana katika familia.
Mtoa mada una akili nyingi sana
Hata katika dini ya kiislam inasema fitna kubwa ni mali wake zetu na watoto wetu mkuu upo sahihi sana
Mimi Maadui zangu wakuu ninao wahofia ni,umasikini(napambana kuushinda maana utajiri ni chanzo cha mafanikio yote hapa duniani)
atakaye chepuka nae "my wife wangu"(nikimbaini nitamwachia aendelee kuchepuka nae,maana nikimkabili nitamuua,sitaki murder case),
na adui yangu wa mwisho ni uvivu (kwa kiasi fulani nimefaulu kuushinda).
Katika maisha ya kawaida hapa duniani kila mtu ana maadui zake... Kwa upande wangu maadui zangu mimi mwanaume ni MALI ZANGU, MKE WANGU NA WATOTO. Vitu hivi vitatu kama visipokuwa makini mwanaume unaweza jikuta katika mateso makubwa sana katika familia.
Ni kweli kabisa mtoa mada hongera sana kwa hiyo topic,hata mimi nipo kama wewe..tuna share maadui