Huyu mama ailijifanya ana uchungu na sisi kumbe naye ni walewale simba ndani ya ngozi ya kondoo,kwa mtazamo wangu wafuatao wamo
1.Mwerema
2.Komba wa ini
3.Mzee wa bastola igunga
4.Matonge ya kirema
5.Wabunge wa kutoka mdebwedo
ah!!! mimi naona waliobakia ni woteee wa SISIEM