stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 811
- 1,750
Umeweka nini mbele?Naunga mkono hoja
Namba sita sio adui ndo Nguvu yenyewe ya kuitafuta pesa.Maadui wa faida hao🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Sana,hii ni nguvu yenyewe bila hii wangedolola🚶♀️🚶♀️Namba sita sio adui ndo Nguvu yenyewe ya kuitafuta pesa.
😅😅😅😅 Na wakikosa siku chache sio kwa hasira hizo 😝Sana,hii ni nguvu yenyewe bila hii wangedolola🚶♀️🚶♀️
Mbona wanawake na mada inasema wanaume mkuu😂Sijabisha hao ndio maadui wakuu wa mwanamke!!!
Sasa mtoa mada inakuuma nini hao maadui wakishambulia???? na baada ya kuwafahamu unawasaidiaje wanawake???
Mungu awazidishie nguvu za kupambania🙏😅😅😅😅 Na wakikosa siku chache sio kwa hasira hizo 😝
Pesa kama taiUmeweka nini mbele?
loooh!! jamani mzee huu Asante sanaMbona wanawake na mada inasema wanaume mkuu😂
🙏Mungu awazidishie nguvu za kupambania🙏
Namba sita iwe mbili sawa.Pesa kama tai
Nakubali.Maadui 6 wa MWANAUME.
1. Kutumia pesa kabla ya kuzitengeneza.
2. Kutaka kuonekana tajiri kuliko kuwa tajiri.
3. Kuwekeza kwenye starehe kuliko kujijenga.
4. Kutafuta raha za muda mfupi.
5. Kusubiri muujiza badala ya kujenga mifumo.
6. Kuweka mbele mapenzi kuliko malengo.