maadhimisho ya ccm ndani ya ccm kilumba:updates

ni mziji kutoka kwa marlaw yule wa bembeleza.
 
mama saluma kikwete kaja na mmewe..namuona hapa.
 
dr.dr.dr. Kikwete anaimbiwa nyimbo za wembe ni uleule ushindi...wachache wanamshangilia hali ya kumlaki si nzuri hata kidogo.
 

nape kasema wamepoteza mwanza kwa muda tu..wanairudisha kwani ni ngome yao ccm.
 
Jamaa naona kaota matiti aka gynacomastia hii huwa ni side effect mojawapo ya kula kuku wa kisasa, lakini pia ni side effect ya use of ARVs jamaa sinsikia ni candidate wetu au ni bullet proof
 
Jamaa naona kaota matiti aka gynacomastia hii huwa ni side effect mojawapo ya kula kuku wa kisasa, lakini pia ni side effect ya use of ARVs jamaa sinsikia ni candidate wetu au ni bullet proof

umamaanisha tayari umeme umemtembelea?
 
mama ana makinda kumbe ni mlezi wa mwanza.katambulishwa hapa.
 
mwenyeketi wa mwanza analalama kwanini hamna shangwe kwa kikwete.
 
imetangazwa hapa chakura ni bule kwa watu wote hapa uwanjani..watu wanaonekana kufurahishwa na huduma hii ya bule kabisa.
 
halaiki ya vijana na gwaride la chama cha mapinduzi cha jenga nchi. Wanajiita green gad..yetu macho.
 
wale walio vaa njano na kijani wameambiwa wasihofu, kila mtu atakula. wameambiwa chwakula kipo cha kutosha. hii ni dalili ya kwamba ccm bado wanategemea kupata wanachama kwa njia ya ubwabwa yaani beche. ova
 
jeshi la kijani la ccm ndo linajiandaa kupita mbele ya rahisi.
 
hili jeshi la kijani hawajui mwendo wa pole. miguu inapishana pishana, hahahahaaaa...
 
kumbe ccm wanakikosi cha ulinzi,kwaiy tunamajeshi mangapi sasa?
 
asante cameraman kwa kuonyesha viatu walivyo vaa. vidole vipo nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…