MAABARA YA PHYSICS

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,208
Reaction score
3,609
niende moja kwa moja kwenye lengo,je ni mahitaji gani ya msingi kabisa ambayo unatakiwa kuwa nayo ili kuanzisha maabara ya kisasa kwa ajili ya practicals za physics kwa olevo na advance!?

Naomba kama lipo group la whattsapp ambako kuna wataalamu wa fizikia nijulishwe ili niungwe.

lakini kama halipo pia kwa wanaoweza tuungane ili tupate forum huru kwa ajili ya kujadili issue kuhusu physics.

PHYSICS FOR LIFE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…