asante sana kwa kutembelea huu uzi
ZeMarcopolo bado sina hata kifaa kimoja ili nipo katika mchakati wa kununua vifaa vyote pale lab equipment ipo keko mwanga dar es salaam! ultrasound nayofikiria kununua ni portable, kinacho nikwaza mpaka sasaivi sijajua wapi nitapata wataalamu wa hizo machines. mchango na mwongozo wako ni muhimu mkuu