Ma Handsome boy ndio wanaongoza kwa kutembea na mademu wabaya.

Haha stress itoke wapi since ni kazi mbovu meanz hakuna wanaume wataevutika nae kwaiyo hata akipita mtaani hakuna miruzi "we una owa demu kama sanchoka si una tafuta kufa mapema kwa stress mkuu ' maana mda wote mapaka shume na ma papaa yanakuwa yana mwinda mkeo walau ya muonje tu sasa hapo utakuwa umefanya nn

Daah



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Infact sio kazi mbovu ila tu wanawake wasio na mvuto sana, niwaite low profile wao huwa hawanaga drama za kijinga na michezo ya kusaliti penzi. Akiwa na wewe na amekupenda anamaanisha hatojali pesa wala ufala mwengine na wanakuwaga wanalinda sana penzi hawatongozwi ovyo.

Kwakua majority sio vicheche so kidume unakuwa at peace hata ukiwa unapiga mishe zako za utaftaji huwezi kuwaza kwamba mpenzi wangu analiwa mahali maana yupo OG kwako full time.

Watu kama nyie mna madem wakali sana ila humu unavunga


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
koz madem wengi wazuri huezi pata wako mwenyewe lazima muwe foleni sasa ukiwa na wivu kama mimi unataka chako mwenyewe mahali competition ndogo tunaend upande wa pili t
 
Wale wanaume mahandsome boys aka Hb's, masharobaro, matozi, mabishoo nk. Jaman bila ubish hawa watu wanakula kazi mbovu sana "madem wabaya" huku mijini kias kwamba demu huyo hta nipewe bure me sitoweza.

Kama huamin ww jaribu siku kufuatilia utaamin haya nayosema ni wachache sana ambao wanatoka na madem wakali ila weng wao wanakula kazi mbovu sana.

Je ni kwamba dada zetu hawapendi ma Hb?? Masharobaro??. Je kwann ma hbs wanashindwa kula madem wakali? Au ndo mafahali wa2 hawakai zizi moja??


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ngoja nijichunguze kwanza nitarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom