BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,046
- Thread starter
- #241
Hao wadada mnaowaona wabaya wengi wao ndo wanaelimu kubwa na pesa mingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazuri hamna kwan?
Hao wadada mnaowaona wabaya wengi wao ndo wanaelimu kubwa na pesa mingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda vitu vizuri wakiwemo wanawake wazuri, nashukuru Mungu najua jinsi ya kupata vitu vizuri kihalali, ila mimi sio brazameni.