Ma ex wanaofanana majina

Ma ex wanaofanana majina

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,419
Mapenzi ni safari ndefu, mwanzo wake unajulikana mwisho haujulkani, kila mtua anakua na hisia zake kwenye mahusiano

Tangu niyajue mahusiano, nina ma ex, takribani 41, ndani ya miaka minne,

Ila kuna wasichana niliwai kudate nao na wanafanana majina, kuna husina wanne, marry watatu, jack wawili, tina wawili, esther wawili, pamoja na grace wawili, majina ndo yanafanana wengne tabia znaendana hana hasa ao akina tina.

Kama na wewe una ma X wanafanan majina naomba ushare nasi,
 
Kwa hiyo ni sifa nzuri au mbaya kua na exs waliofanana majina?
 
Back
Top Bottom