Ma Dr na watu wa Afya Mje mniokoe😭

PMWAKA

Senior Member
Aug 29, 2019
191
206
Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food nakiona kibaya, mwili ukaanza kuishiwa nguvu hadi sasa siwezi simama hata kwa takika 5 hivyo nikastop kwenda kazini, sasa swalla kubwa zaidi hapa ni sijapata usingizi for 12 days, yani ni ile nalazimisha kua kama nimelala ila ubongo uko active and i can feed it sasa ubongo umekua kama ebust, watu hawajajua but siwasikii tena vizuri wakiniongelesha, hata nikiwa nawauliza nawauliza vizuri, nimerudi tena hospital sijapewa anything ya kutibu. Naweza tumia dawa za usingizi? sababu nitakufa.

Samahani kama kuna any typping errors ni vile nimendika mikono haina nguvu inatetemeka
 
Pole sana kuhusu dawa ya usingizi ungemuuliza daktari wako.
 
Duuh, "kila food", "nikastop", "ebust", "typping"

Polee sana bingwa, pengine ndo kaupepo kanakosemwa sasa, nenda hospitali ya kulipa mihela mingi, utapata a be che de ya nini kinakusumbua!
 
Pole sana. Nadhani unatakiwa kwenda hospital kubwa uonane na dr wa uhakika, na ikiwezekana u-seek second opinion kutoka kwa hospital nyingine. Katu usiendelee kunywa dawa wakati hujui una tatizo gani kwani unaweza kuzidisha ugonjwa.
 
Duuh, "kila food", "nikastop", "ebust", "typping"

Polee sana bingwa, pengine ndo kaupepo kanakosemwa sasa, nenda hospitali ya kulipa mihela mingi, utapata a be che de ya nini kinakusumbua!
Asee ndalilo ndo kufatilia hizo article
 
sasa swalla kubwa zaidi hapa ni sijapata usingizi for 12 days, yani ni ile nalazimisha kua kama nimelala ila ubongo uko active and i can feed it sasa ubongo umekua kama ebust, watu hawajajua but siwasikii tena vizuri wakiniongelesha
Upo zone gani
 
Kaupepo gani mkuu, maana mwenyewe najiskia dhoof'li hali
Si wamesema haka kaubaridi kutokana na jua kuwa mbali dunia(vyovyote tu), kuna ambatana na vigonjwa gonjwa kadhaa, ikiwa ni pmoja na vimafua, kubana kifua, n.k

Ingawa wanadai pia kuna vairo infeksesheni kali ina randa randa pia!

Jamaa wakasisitiza kugonga ma-vitamin C mengi mengi tu
 
Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food nakiona kibaya, mwili ukaanza kuishiwa nguvu hadi sasa siwezi simama hata kwa takika 5 hivyo nikastop kwenda kazini, sasa swalla kubwa zaidi hapa ni sijapata usingizi for 12 days, yani ni ile nalazimisha kua kama nimelala ila ubongo uko active and i can feed it sasa ubongo umekua kama ebust, watu hawajajua but siwasikii tena vizuri wakiniongelesha, hata nikiwa nawauliza nawauliza vizuri, nimerudi tena hospital sijapewa anything ya kutibu. Naweza tumia dawa za usingizi? sababu nitakufa.

Samahani kama kuna any typping errors ni vile nimendika mikono haina nguvu inatetemeka
Pole sana mola akuponye
 
asante sana Mkuu, Shukrani
 
Unaweza kutuambia dawa ulizo tumia ili tujue tunaanzia wapi na hii clinical case
 
Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food nakiona kibaya, mwili ukaanza kuishiwa nguvu hadi sasa siwezi simama hata kwa takika 5 hivyo nikastop kwenda kazini, sasa swalla kubwa zaidi hapa ni sijapata usingizi for 12 days, yani ni ile nalazimisha kua kama nimelala ila ubongo uko active and i can feed it sasa ubongo umekua kama ebust, watu hawajajua but siwasikii tena vizuri wakiniongelesha, hata nikiwa nawauliza nawauliza vizuri, nimerudi tena hospital sijapewa anything ya kutibu. Naweza tumia dawa za usingizi? sababu nitakufa.

Samahani kama kuna any typping errors ni vile nimendika mikono haina nguvu inatetemeka

Habari,
Pole kwa kuumwa.
Kuna mambo mengi kuzingatia:

1: Unaweza kuwa na malaria na ilikuwa kali, hivyo kiasi na aina ya dawa vikawa havitoshelezi kumaliza tatizo.

2: Unaweza kuwa na malaria na tatizo lingine, hivyo kufanya usione/usipate nafuu wa mapema kwa kadri ya fikra.

3: Unaweza usiwe na malaria, bali una tatizo tofauti hivyo kutopata nafuu.

HIVYO:
1: Si vyema kutumia dawa za usingizi kwani utajinyong'onyesha zaidi. Na ni mbaya zaidi unapochukuwa dawa hizi wakati unaumwa tayari, huwezi kufahamu uwezo halisi wa mwili kuhimili hilo.

2: Kitendo cha kukaa na tatizo la kiafya bila kupata nafuu ni hatari zaidi. Ni vyema kufika hospitali, ili kupata review na vipimo upya/zaidi.
Hata ikiwezekana kwenye kituo tofauti au cha juu zaidi.

3: Si kosa wala tatizo kurudi hospitali pale unapopata tiba na bado hali haiendelei vyema.
 
shukrani sana kwa mchango wako mkubwa ambao naenda ufanyia kazi.
 
sijapona bado, naendelea kunywa dozi, hapa kuna tatizo moja limetokea sasa 2 days kwa sasa siskii chochote yani hadi uniongeleshe kwa karibu, hospital walisema ni side effect tu za hizo dawa, niendelee kumeza hadi dosi iisho.na.kila.kitu kitatulia
 
Back
Top Bottom